Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,930
- 13,966
Ruvu 0- Azam 0....Jus wishing loudly...
me am wishing it kimya kimya!!
Ruvu 0- Azam 0....Jus wishing loudly...
Ulipotea mkuu,nilifikiri wamekuibia tiketi yako.
Yanga wanaloga sana!!
Siku nyingine utumie tools ambazo ziko hapo juu.
NaOH + HCl = NaCl + H[SUB]2[/SUB]O
Wacha washuke daraja tu hao 2ajela jela. Wanyakyusa wana jeuri kweli. Bora maji mani yetu imepanda daraja. Watakomaje!
du....yaani Katavi ananiambia mimi nimevurungwa...adhabu yake sijui awe tu shemeji yangu?! au unasemaje Bantu lady?
Yanga wanaloga sana!!
Mala ya mwisho mcc alimfunga lini yanga?
Yanga wanaloga sana!!
Tatuuuuuuuhhuh