Ubingwa mtaishia kuusikia tuu..Simba wako jikoni wanachemsha dawa yenu.
Sherman amecheza leo?
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa
Sijajua bado kama Sherman ni fimbo au risasi. Kwani mshambuliaji hatari wa kati wa kimataifa kutoka Liberia, Afrika Magharibi, ana magoli mangapi VPL? Maybe I will then be in a position to know who the hell is he!Hakuna haja ya kutumia risasi kuua nyoka, fimbo yatosha! Kajifunze maana ya maneno hayo.
Mzee wa JNIA aka airport, kwani vipi tena taxi driver wangu?90+ Azam 0;rvshtn 0. Akaaayangaaafrikaaaayangaamojaaa wamataifaaa yamasharikiiii afrikanakatiiiii
Cc pepekalreeeeeee
Bhangi mbaya sana
Mkuu Jabulani hujanisoma vizuri, kuna member ali coment hapa kwamba 'Yanga wana roga sana" nimkamjibu hivi; Hata mikia wamekamatana uchawi gemu ya juzi Moro.Sasa ni uchawi au pesa? Mbona inaonekana sababu zinakuwa nyingi? Huwa napenda sana mtu anaposimama katika hoja yake ya awali, otherwise anakuja kukubali hoja za wengine. Lakini ukiona mtu wakati huu anatoa hoja fulani, baada ya dakika chache anaachana na hoja yake mwenyewe na kuanzisha nyingine mpya, my rating to the person is always towards poor.
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa
Eraaaweraaaaaaakandambiriiiii3biraaaaawapiiruvuushuutingggpigaazammmaahaaaaaaasareesareeeelohhhnipeenipeee nikikupautareeewaaaaaaaaa
Oyoooooooooooyoooooooooo oyoooopopppooyooooooooooo yangaaaaayangaaaaaaaaaaaaayamgaaaaaayangaaaaaaaKwa mbaaaali naliona kombe likiwa limening"iniziwa viuzi vya njano na kijani huku kanavaro akijiandaa kukabidhiwa na mgeni rasmi ndugu jakaya kikwete,huku na mimi nikiwa jukwaa la kulia nimeshika huawei kupiga picha tukio hilo,alafu kwa mbaali jukwaa la kushoto naona viti vyeupee wachache waliobaki wameshika shavu wakisonyasonya
Ganjaaaaa kanipaankeooooo oyooooooooyoooooooo yangaaaayaaamgaaaaSikutegemea kucheka leo…dah kweli jf ni stress free zone…ganja bwana!!!