Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Attachments

  • 1424358612500.jpg
    1424358612500.jpg
    67.7 KB · Views: 268
  • 1424358654514.jpg
    1424358654514.jpg
    90.6 KB · Views: 255
Bantu lady nipo nachungulia kwa mbali si unajua tena wajelajela ni wa nyumbani hao.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mikia wamekamatana uchawi wenyewe kwa wenyewe gemu ya juzi Moro.
Hivi matokeo ya mechi yalikuwaje?
Mbumbumbu fc walishinda 2-0, si unajua tena mambo ya Mpesa.
Sasa ni uchawi au pesa? Mbona inaonekana sababu zinakuwa nyingi? Huwa napenda sana mtu anaposimama katika hoja yake ya awali, otherwise anakuja kukubali hoja za wengine. Lakini ukiona mtu wakati huu anatoa hoja fulani, baada ya dakika chache anaachana na hoja yake mwenyewe na kuanzisha nyingine mpya, my rating to the person is always towards poor.
 
Full Time: Prisons 0-3 Yanga.

Tunakwea kileleni kushika usukani wa treni huku mikia na wenzake wakiwa nyuma wakiendesha mashua.

'Manahodha wa mashua kwa nini wakae nyuma?'.
 
Back
Top Bottom