Ligi kuu Tanzania Bara leo Tarehe 1.10.2017

Simba wameshaanza ukorofi, wapo ugenini walitakiwa wavae away kit. Kuna mfanano sana wa jezi. Tutegemee makosa mengi ya mwamuzi. Wasimamizi wa hii mechi hawakuliona hili kwenye pre match meeting?
 
Goli saba alizoshinda Simba katika game ya kwanza zitambeba sana msimu huu..wakati utatuambia
 
Tunaoangalia kupitia simu tunakoma aisee jezi zinafanana hadi picha ya karibu ndio unaona vizuri
 
Simba wameshaanza ukorofi, wapo ugenini walitakiwa wavae away kit. Kuna mfanano sana wa jezi. Tutegemee makosa mengi ya mwamuzi. Wasimamizi wa hii mechi hawakuliona hili kwenye pre match meeting?
Hata mi nimeshangaa, jezi zinafanana sana mpaka inaondoa raha kufuatilia, TFF mpo wapi?
 
Back
Top Bottom