Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.

Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?

Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11

Usiwaze sana kuhusu hawa jamaa!

Ndio kipindi chao hiki.

Kumbuka: wamecheza mechi 1 tu nje ya Dar!
 
Usijali kuhusu hilo.

Wamecheza mechi moja tu nje ya Dar!

Wanastahili kuwa mahala pale, ila wakianza kufululiza huko mikoani ndio utaanza kuona madroo ya kabatini yakitoa mende.

Jipe False Hope tu wewe na Kuona Kama Simba ni Mgeni Wa Mikoani ukisahau Kuwa Sasa Ni Zaidi Ya Miaka 70 Simba Anacheza Mikoani...
 
Yanga cjui nn kimewafanya kucease ile kasi yao timu haina kasi kabisa mpira unachezwa bila plans Leo huu mchezo ulikuwa wakishinda kabisa Afu Aggrey morris naona km kapewa kazi ya kuvunja taya tu wachezaji wa timu pinzani pia Yule namba 3 mgongoni cjui nan tu nae km hawezi mpira akacheze rugby au mieleka Bakhresa inunue MBAO FC Azam Ukweli mwaka huu wametepeta mpaka nashindwa kuelewa uwekezaji wote huo timu ikijitahidi sana uwanjani inaishia kuvunja taya tu wachezaji wa timu pinzani!!!
 
Nyie uwekezaji wa Bil 11.6 mlizokopa kwa Yanga Yetu(Yusuf Manji) ni mdogo !? au zenu ni kuhonga marefa tu...
 
Mkuu gharama za kuendesha mpira nadhani unazijua pia unaona kabisa hali ya msimu uliopita kushiriki CAF&Federation cup ni Gharama mzee japo hatukupata mafanikio pia Mkuu kitu ambacho unachotakiwa uondoe akilini mwako Ww Na mashabiki wengine wa simba KUWA YANGA HATUONGI WALA HATUBEBWI msipo badili huo mtizamo wenu mtaendelea kuvunja VITI Kila mechi tukicheza na nyinyi!!!?
 
Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.

Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?

Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
dua la KUKU
 
Jana tu Azam kanyiwa penalty mbili za wazi ikiwemo ile ya Yondan halafu unasema hambebwi?
 
Mkuu gharama za kuendesha mpira nadhani unazijua pia unaona kabisa hali ya msimu uliopita kushiriki CAF&Federation cup ni Gharama mzee japo hatukupata mafanikio pia Mkuu kitu ambacho unachotakiwa uondoe akilini mwako Ww Na mashabiki wengine wa simba KUWA YANGA HATUONGI WALA HATUBEBWI msipo badili huo mtizamo wenu mtaendelea kuvunja VITI Kila mechi tukicheza na nyinyi!!!?
Jana mmebebwa na mechi ya Simba na Yanga mlibebwa hata Mungu anajua...
halafu msimu uliopita mechi zenu zote timu pinzani zilizokuwa zinatoa upinzani lazima wapewe kadi nyekundu na penati za magumashi...hizo kambi za Uturuki ndiyo ilikuwa kutakatisha deni lenu la Bil 11.6!? kweli huku kunaitwa kushikwa kwa Vyura fc...
 
Hayo Masihara sasa, yaani timu imalize msimu bila kupoteza halafu isichukue ubingwa?

Mimi ninayokumbuka ya Simba kumaliza msimu bila kupoteza ilikuwa ni msimu wa 2009/2010 na ilitangaza ubingwa huku ikiwa imebakiza mechi mbili na hizo mechi mbili haikupoteza. Jumla ilishinda mechi 18 na droo nne.

Labda kama unaweza kunikumbusha huo msimu ambao Simba alimaliza bila kupoteza na hakuchukua ubingwa ilikuwa ni msimu gani?

Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.

Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?

Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
 
Hayo Masihara sasa, yaani timu imalize msimu bila kupoteza halafu isichukue ubingwa?

Mimi ninayokumbuka ya Simba kumaliza msimu bila kupoteza ilikuwa ni msimu wa 2009/2010 na ilitangaza ubingwa huku ikiwa imebakiza mechi mbili na hizo mechi mbili haikupoteza. Jumla ilishinda mechi 18 na droo nne.

Labda kama unaweza kunikumbusha huo msimu ambao Simba alimaliza bila kupoteza na hakuchukua ubingwa ilikuwa ni msimu gani?
Mkuu unabishana na chizi achana nae...
 
Jana mmebebwa na mechi ya Simba na Yanga mlibebwa hata Mungu anajua...
halafu msimu uliopita mechi zenu zote timu pinzani zilizokuwa zinatoa upinzani lazima wapewe kadi nyekundu na penati za magumashi...hizo kambi za Uturuki ndiyo ilikuwa kutakatisha deni lenu la Bil 11.6!? kweli huku kunaitwa kushikwa kwa Vyura fc...
Endelea kuamini hivyo hivyo mkuu ili viti muendelee kung'oa
 
Hv unafikiri Penalti zinatolewa simple tu!!! Rafu za Aggrey Na yule namba tatu mgongoni pasi kumsahau Nyoni ulikuwa umelala
kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu jana
 
Back
Top Bottom