Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Ww ndio ujui mpira alie nyumbani akipata droo kwake ni aibu fungua macho shabiki wa simba uliehamia azam kwa muda.
Ndo matatizo ya kushabikia mpira mkiwa mmeota ndevu tayari,hivi Yanga aliingia uwanjani kwa nia ya kufungwa? Na umetumia darubini gani/ramli ipi kujua mimi shabiki wa Simba? Sababu Sijawahi ipenda Yanga wala Simba...nilivutiwa na namna Azam FC walivyo kuanzia uongozi mpaka wachezaji na toka inaanza nipo nao ila kabla ya hapo mi ni Die hard fan wa Vijogoo vya Anfield.
 
OK utakuwa uzao wa 1990 usijali mkuu nimeelewa nitakuwa nabishana na mwanangu kumbe!
 
Tumeshauri kitambo humu kwamba wachezaji wote wa azam watimuliwe , timu ianze upya .

Kutimua Wachezaji Wote Sio Suluhisho wala Si Katika Kujenga Timu! Kama Ni Mfatiliaji Mzuri Wa Mechi Za Azam Basi Utanikubali Kuwa Timu inayoongoza na Kutamba na inayojua Kupress Soccer hapa TZ ni Azam! Mimi ingawa ni Mnazi wa Simba Basi Naikubali Sana Azama Katika Kucheza na Kumiliki Mpira..
Point ya Hayo Niliyoyasema ni Kwamba Azam ni Timu Yenye Wachezaji Wazuri kwa Hapa Tanzania! ila Tatizo lao ni Moja tu.. Hawana Stricker Mbadala Wa John Boko...
Suluhisho la Azam si Kufukuza Wachezaji! Bali Ni Kusaini Stricker Ambaye atakuwa Mmalizaji wa Uhakika Kwani Ukiangalia Mechi Ya Leo Azam Wamepoteza Nafasi Za Wazi Kwa Kushindwa Umaliziaji tu..
 
Wahenga walisema ukijisu una mbio msimu na anayekukimbiza

Sishawishiki kuanza kutabiri matokeo kwa sasa kwani bado ni mapema sana na gap sio kubwa inavyodhaniwa, kinachotokea ni faraja ya kushinda mfululizo jambo ambalo si ajabu kutokea kama inavyoweza kutokea kutoa sare au kufungwa mfululizo ingawa mwisho naonekana mweupe kwa simba sababu kwanza timu inaposhinda naongeza confidence lakini kuna namna ya kueleweana inaonekana kwa baadhi ya idara hasa fasu ya ulinzi ya simba ingawa safu ya ushambulizi iko doro, chengine kwa simba ni aina ya wachezaji walio nao ambao wanaweza kucheza muda mrefu na hata sub yao inaongeza uhai sana

moshi mweusi kwa simba uinaonekana kwa vile imecheza mechi nyingi nyumbani na kuna wachezaji tegemezi wakikosekana huenda ikawa madhara kwa timu hiyo bila kusahau kwamba kwa kasi ya simba, kufungwa ama sare mfululizo kunaweza kuipoteza kwenye ramani kisaikolojia

In all ADUI MUOMBEE NJAA SIKU ZOTE maana sare ya leo imeweka wigo kwa wafalme wa nyika wa mbio za Ubingwa na kuipa simba ahaueni kileleni
 
Mlisema hivi hivi, tulipoanza ligi.. Mlianza ngoja akutane na Mtibwa.. Tukamgonga.. Mkaja ngoja akutane na Azam.. Tukamgonga.. Mkaendelea ngoja akutane na Yanga.. Mkabebwa.. Hamkutosheka, ngoja akutane na Mbeya City.. Tukamgonga.. Sasa naona mmegawanyika.. Wengine ngoja mkutane na Toto.. Wengine na Stand United.. Na nadhani tukishawagonga hao.. Mtaamia majimaji
Kweli Vyura FC wamechanganyikiwa yaani serous kabisa wanamtegemea stand United ndiyo atusimamishe baada ya wao na marefa kutushindwa...
 
Kutimua Wachezaji Wote Sio Suluhisho wala Si Katika Kujenga Timu! Kama Ni Mfatiliaji Mzuri Wa Mechi Za Azam Basi Utanikubali Kuwa Timu inayoongoza na Kutamba na inayojua Kupress Soccer hapa TZ ni Azam! Mimi ingawa ni Mnazi wa Simba Basi Naikubali Sana Azama Katika Kucheza na Kumiliki Mpira..
Point ya Hayo Niliyoyasema ni Kwamba Azam ni Timu Yenye Wachezaji Wazuri kwa Hapa Tanzania! ila Tatizo lao ni Moja tu.. Hawana Stricker Mbadala Wa John Boko...
Suluhisho la Azam si Kufukuza Wachezaji! Bali Ni Kusaini Stricker Ambaye atakuwa Mmalizaji wa Uhakika Kwani Ukiangalia Mechi Ya Leo Azam Wamepoteza Nafasi Za Wazi Kwa Kushindwa Umaliziaji tu..
niliposikia Kipre ameondoka nilijua wqtakuwa na wakati ngumu jamaa anajua sana na anauwezo Wa kulazimisha goli...
 
Inabidi tushinde hii game na mbili zijazo then simba akakalie Mbao ili Timu ya wananchi Turudi kwenye usukani wetu

Vipi Hujaishia ICU lakini baada ya Mechi Kumalizika? Manake inaonesha Baada Ya Kukodisha Timu, Sasa Mpaka Ushindi Munakodisha...
 
Ni mwendo wa Kichura chura tu Msimu huu..

1476633380161.jpg
 
Kama Droo Za Kabati Basi Huwa Tunafungua Baada Ya Kila Mechi Kuhifadhi Points Zetu.. Wewe Endelea Kuweweseka Wakati Mimi Hapa Naangalia Namna Gani Nijiandae Kusherehekea Ubingwa..
Ubingwa mtaendelea kuusikia hivohivo, mabingwa wametulia...fukuzeni upepo kama kawaida yenu wazuu wa matopeni wakwamua mabasi
 
Back
Top Bottom