Kwani wewe unasemaje? Ligi bora ni ipi na kwa vigeza gani?Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund zimezicharanga Barca na Real Madrid katika Semi-fainali za UCL. Come again.
Naona umeshaanza kuwa kigeugeu baada ya timu za Spain kupewa kipigo cha aibuHao ni EPL but with German/Spain in UCL it is too early to jurge. Ligi bora huzaa timu ya taifa bora hicho ndio kigezo ninachofahamu mimi.
Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund zimezicharanga Barca na Real Madrid katika Semi-fainali za UCL. Come again.
Kwani wewe unasemaje? Ligi bora ni ipi na kwa vigeza gani?
Hii mada tulijadili hapa kuna watu wakasema Laliga ni ligi bora,EPL ni ligi mbovu kisa timu za EPL zimetolewa sasa baada ya kubamizwa wameanza kubadili manenoNamshangaa anawalisha watu misimamo wakati yeye mwenyewe anashindwa kubainisha ipi ligi bora na kwa vigezo gani.?
Atuchambulie kwanza vigezo vya ligi bora
1.bundesliga 2.la liga 3.serie a 4.epl
Kumbe niyinyi bado wadogo ehh? italy ndio ligi bora duniani for years kabla ya kuzidiwa juzi juzi tu na la liga ligi bora duniani ilikuwa seria a halafu bundesliga halafu la liga kigezo kikuubwa ni ligi kutoa mchezaji bora wa dunia.... Ndo maana Henry alishindwa na Zidane tuzo ya mchezaji bora wa dunia na Beckham alishindwa na luis figo.... sababu ligi ya Uingereza sio bora ndo maana hawatoi mchezaji bora wa dunia..Loh epl ya mwisho.? inazidiwa hata serie a kwa vigezo gani.?
Hao ni EPL but with German/Spain in UCL it is too early to jurge. Ligi bora huzaa timu ya taifa bora hicho ndio kigezo ninachofahamu mimi.
Kumbe niyinyi bado wadogo ehh? italy ndio ligi bora duniani for years kabla ya kuzidiwa juzi juzi tu na la liga ligi bora duniani ilikuwa seria a halafu bundesliga halafu la liga kigezo kikuubwa ni ligi kutoa mchezaji bora wa dunia.... Ndo maana Henry alishindwa na Zidane tuzo ya mchezaji bora wa dunia na Beckham alishindwa na luis figo.... sababu ligi ya Uingereza sio bora ndo maana hawatoi mchezaji bora wa dunia..

Usidanganyike bado ligi bora duniani ni EPL kwa kila kitu