Light is not matter, it is a wave.Mwanga (According to wave particle duality) Huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.
Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa ngum kupima mass ya mwanga, nazan hii sifa ndo iliwafanya wanasayansi washindwe kuuweka mwanga kwenye aina za mada
Mimi nawashauri wanasayansi wabadirishe definition ya what is matter harafu then mwanga uingie kwenye aina za mada.
Yaan kuwe na aina Tano za mada ambazo ni:
1. Solid eg stone,house ice
2. Liquid eg water
3. Gas eg Nitrogen
4. Plazma eg liquid heated at high temperature
5. Light eg red, yellow, blue ECT
Mwanafunzi akifundishwa hivyo itakuwa rahisi sana kuuelewa mwanga kuliko ilivyo Sasa. Maana saiz kusema ukweli wanafunz wanamakiza hata chuo kikuu lakini cha kushangazaga ukimuuliza kuhusu mwanga hatoi majibu ya kuridhisha.
Karibu Kwa maoni wadau wa elimu hasa hasa Sayansi
Kuna difficult concepts to conceptualize....eg space-time concept, relativity theory........special theory of relativity. Does light occupy spaceMwanga (According to wave particle duality) huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.
Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa ngum kupima mass ya mwanga, nazan hii sifa ndo iliwafanya wanasayansi washindwe kuuweka mwanga kwenye aina za mada.
Mimi nawashauri wanasayansi wabadirishe definition ya what is matter harafu then mwanga uingie kwenye aina za mada.
Yaan kuwe na aina Tano za mada ambazo ni
1. Solid eg stone,house ice
2. Liquid eg water
3. Gas eg Nitrogen
4. Plazma eg liquid heated at high temperature
5. Light eg red, yellow, blue ECT
Mwanafunzi akifundishwa hivyo itakuwa rahisi sana kuuelewa mwanga kuliko ilivyo Sasa. Maana saiz kusema ukweli wanafunz wanamakiza hata chuo kikuu lakini cha kushangazaga ukimuuliza kuhusu mwanga hatoi majibu ya kuridhisha.
Karibu Kwa maoni wadau wa elimu hasa hasa Sayansi
There are seven ( 7) states of matter, light is wave not matter.⤵️Yaan kuwe na aina Tano za mada ambazo ni
Mkuu samahani kidogo, hivi liquid heated at high temperature si inageuka kuwa gas? Embu nitoe tongotongo hapoMwanga (According to wave particle duality) Huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.