Swali # 2 sijakuelewa kuhusu hiyo card unayosema inatoa back up ikwa lift imekwama. Hapa ungeniambia kwamba mnatumia battery kama back up kwaajili ya kusogeza lift ikiwa imekwama kabla ama baada ya entry/exit.
Swali # 3 haujanipa jibu na kwamba na sehem umdanganya.
Kimsingi sijauliza kama lift zenu ni zakisasa ama ni toleo la mwaka gani.
Nimtaka kujua aina drive kwenye mechanical. Hapa naamisha mnatumia Gear and Rail or Rope and Drum/Motor kwenye up and down ya elevator zenu?
Pia naomba nikusahihishe kwamba hakuna Remote inayo tumika badala ya Sensors.
Kazi ya Think mote ni kufanya uelekeo/ kuenfesha (control).
Good pamoja na kwamba wewe sio mteja ila umetoa challenge kwa muuzaji.Swali # 2 sijakuelewa kuhusu hiyo card unayosema inatoa back up ikwa lift imekwama. Hapa ungeniambia kwamba mnatumia battery kama back up kwaajili ya kusogeza lift ikiwa imekwama kabla ama baada ya entry/exit.
Swali # 3 haujanipa jibu na kwamba na sehem umdanganya.
Kimsingi sijauliza kama lift zenu ni zakisasa ama ni toleo la mwaka gani.
Nimtaka kujua aina drive kwenye mechanical. Hapa naamisha mnatumia Gear and Rail or Rope and Drum/Motor kwenye up and down ya elevator zenu?
Pia naomba nikusahihishe kwamba hakuna Remote inayo tumika badala ya Sensors.
Kazi ya Think mote ni kufanya uelekeo/ kuenfesha (control).
Mkuu punguza kwanza wewe hilo povu alafu naona unachanganya mada.. Door detector ama sensor ina kazi yake na remote pia ina kazi yake ila sijui kwanini unabisha ama unaweka ubishani kuhusu Lift zinazotumia remote kubaini tatizo kwenye Litf?.Punguza povu mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa tupingane kwa hoja tu...[emoji135]
Kwanza matumizi ya remote kwenye lift hii unayo izungumzia wewe ni unsafe kwa mtu anaekua ndani ya lift hiyo.
Lakini ninacho kijua kuhusu lift hii unayo isemea wewe ni inaongozwa na Sensors ili iweze kuhisi ama ku maintain mawasiliano kutoka ama kwenda kwenye kila kituo.
Na ninaanza kuamini kwamba yawezekana unauza kitu ambacho haukijui kwa kushindwa kutofautisha SENSOR na REMOTE
MM nataka kujua, lift capacity, voltage, speed na minimum stop height, mfano nataka lift iwe na 3 stop Lower ground to Ground floor 1.2m GF - 1ST FL 3.7MDrive inayotumika ni (V.V.V.F) up & down collective , geared & gearless machine, Rail 70*65*9mm, Rope 50*50*5mm,
Mkuu ni vema ukanipa vipimo vya shaft ya Lift, Width & Depth ndani kwa ndani nitakupa fasta hapa usijari ........ karibu sanaMM nataka kujua, lift capacity, voltage, speed na minimum stop height, mfano nataka lift iwe na 3 stop Lower ground to Ground floor 1.2m GF - 1ST FL 3.7M
Use secured email address....Metatron Lift Company Ltd was founded in 2015 by Tanzanian young visionaries who were intending to serve their country and the other developing countries with sustainable and good quality elevator products under European Standards. The company is engaged in supplying a full series of elevators, escalators ,Lift spare parts and their services and services.
As a future potentially leading domestic and abroad elevator enterprise with a comprehensive strength ,Metatron Lift Company Ltd is fully recognized by customers for its superior technology, quality and services it offers. By putting into consideration in our custumers’ needs, Metatron Lift Company Ltd is highly determined, dedicated and devoted to provide the clients with high quality elevator products, spare parts and services with an affordable prices.
Office Location..
Mbezi Beach - Dar es salaam
0714 434 190
0679 393 975
metatronlift@gmail.com
Hapana unajua nini Jamaa analeta ubishi na pia anabishana na technology, ndio najaribu kumuelewesha hahahahhahah yeye anajua vitu juu juu tu na hizi Lift ninazoongelea hata hazijui kabisa ndio maana anabisha tu. Hizi sio za kichina au za kihindi.Good pamoja na kwamba wewe sio mteja ila umetoa challenge kwa muuzaji.
Shaft = w x d = 1990x1880Mkuu ni vema ukanipa vipimo vya shaft ya Lift, Width & Depth ndani kwa ndani nitakupa fasta hapa usijari ........ karibu sana
Bahati njema niliku quote na hii inanipa uhakika wa kwamba bado haujaiva kwa kile unacho kiuza.Mkuu hatuko hapa kubishana wala wala kudanganyana na usome vizuri maelezo yangu vizuri, nimesema kuwa tunatumia ARD system hii nipamoja na backup yake amabyo ni betri zote zinafanya kazi sambamba inapotokea tatizo la umeme Lift itasogea kituo kinachofuata na kufungua milango na milango haitofunga mpka umeme urudi.
Sijadanganya sehemu yeyote, nimezungumzia remote na nikakuwekea na picha yake ya control panel na remote yake, ngoja nikupe elimu kidogo kwa lift za Kituruki hasa hizi ambazo ni latest ARKEL ARCODE zinatumia remote maalumu na bila hiyo remote huwezi kujua tatizo kwenye hiyo Lift.
Najaribu kwa pamoja tuelimike mkuuGood pamoja na kwamba wewe sio mteja ila umetoa challenge kwa muuzaji.
Capacity : 800Kg / 10 PassengersAsante sana mkuu...
Capacity : 800Kg / 10 PassengersShaft = w x d = 1990x1880
Minimum Stop height????????????Capacity : 800Kg / 10 Passengers
Speed: 1.00 m/s
Door opening: Automatic door opening, Center door opening
Door size: W 900 (mm) * H 2000 (mm)
Cabin size: W 1550 (mm) D 1250 (mm)
Power supply: 380V AC 50HZ 3phase, 5 lines
Control: A.C - V.V.V.F with ARD System
METATRON LIFT CO. LTD, Ni kampuni ya Kitanzania ambayo imejikita kwenye Uuzaji wa Lift toka Uturuki na pia tunafunga lift aina yeyote kwa bei nzuri, pia tunatengeneza lift zilizo simama kwa muda mrefu ama zenye matatizo mengine kama hayo.
Tuone tupo..
Mbezi Beach, Mwaikibaki road (karibu)
Mkuu sawa ila nilikuwa tait sana siku mbili hizi sikuwepo kabisa jukwaani...