Huyu.ni wewe?Tunazo lift aina zote na zenye ubora wa hali ya juu.... Karibuni sana
View attachment 464890
Ahsante sanaEeeeh ni mimi huyo.. (karibu sana metatron lift)
Infatuation?Love at first sight?au mihemuko?Huyu.ni wewe?
Labda nayo inauzwaSasa mkuu badala ya kuweka bidhaa unayouza we unaweka sura yako!
auInfatuation?Love at first sight?au mihemuko?
hahahaha.... tusifukue makaburi kama kauli ya mkuu wa kaya Evelyn Salt
Usijali mkuu, ni chombezo tu, bidhaa tumeiona sasa iko poanini inauzwa mkuu??
Labda ndio kusudioSasa mkuu badala ya kuweka bidhaa unayouza we unaweka sura yako!
Mkuu kuanzia ghorofa moja au ukijenga under ground ndio utahitaji elevator, Lift inakuja vipande vipande kisha hapa tunaifunga kisha na kuitembeza... karibu sana.Hizi bidhaa wenye nyumba za chini hazitufai...
Nilistuka kusikia za Tanzania kumbe ni assembly in Tanzania... Made in Turkey... Isije ikawa mtandao Wa FEzullah