Mkuu karibu Sana, Sisi Tunatumia Brand ya MERIH ASANSOR hiki ni kiwanda kikubwa Kwa UTURUKI na ndio kinaongoza, pia Sisi Kama Metatron Lift Compay Ltd ndio xclusive distributors kwa Africa mashariki na Kati. Kazi ambazo tumefanya mpka Sasa ni kazi Tano na mbili ndio tumalizia Installation ila Kwa mwezi ujao tuna kazi Moshi na Mwanza ziko 3Mnafunga lift za Kampuni gani za Uturuki na je mumeshawahi kuzifunga hizo lift wapi Tanzania ili tuweze kuziona.
Ofisi zetu zipoMnafunga lift za Kampuni gani za Uturuki na je mumeshawahi kuzifunga hizo lift wapi Tanzania ili tuweze kuziona.
Mkuu hizi Sasa ndio mahala pake Katika kampuni zote hapa Tanzania na East Africa sisi pekeee ndio tunafanya special design ya lift ndogo home usser na moja kama hyo tunatarijia kuifunga Mbezi beach hivi karibuni. Nikuondoe wasi wasi hiyo kazi sisi tunafanya. Muhimu nitumie vipimo vya shaft yako kwenye email address yangu tuandae mchoro pamoja na quotationNapenda kujua kama katika lift zenu mnazo ndogo, kwa matumizi ya nyumbani, zenye uwezo wa kubeba mgonjwa wa wheelchair na watu wawili, inayoweza kwenda kama mita 8, ya gorofa 3, Ground, ya kwanza na ya pili na iwe pitless.
Kama una tatizo tajwa hapo juu kuhusiana na Lift yako basi mwarobaini umepatikana , sisi kwetu tunasema hakuna Lift mbovu. Tuone METATRON LIFT CO. LTD ndiyo suruhisho la kudumu kwa lift yako. Pia tunauza Lift toka Uturuki kwa brand ya MERIH ASANSOR na tunafanya Installation kwa aina yeyote ya Lift.
KARIBUNI SANA....
Mbezi Beach karibu na Rainbow social club
+255 714 434 190
metatronlift@gmail.com , makenge88@hotmail.com
Noo Drivermkuu escort kama ile mitonyo ya bot ndiyo unamaanisha ama?
Noo my license hairuhusumkuu vipi fuso unaendesha ??? tunalo fuso kwa ajili ya kupeleka mizigo mkoa
OK thanks for informationmkuu hiyo nafasi ndio ipo kwa ajili ya material ya Mwanza na Arusha
ninaweza ku applymkuu vipi fuso unaendesha ??? tunalo fuso kwa ajili ya kupeleka mizigo mkoa
tuma cv zako kwenye makenge88@hotmail.comninaweza ku apply
METATRON LIFT CO. LTD Ni kampuni ya Kitanzania ambayo inafanya kazi sambamba na Kampuni kubwa ya Lift ya Uturuki MERIH ASANSOR Iliyopo ANKARA-TURKEY.
Tunafunga Lift za aina yeyote ile kwa mahitaji yako, Tunazo lift ndogo kabisa hadi za watu watatu kwa ukubwa wa Shaf yako ambayo ni sawa na ( width 130 * depth 140) (width 120 * depth 130) na pia tunazo lift kubwa kabisa hadi za tani tano.. Kwa dar es salaam tumeishafunga kazi kadhaa ukiwa na muda unaweza kwenda kutembelea. Pia tunakazi tunatarajia kufunga MOSHI, MWANZA NA MUSOMA hivi karibuni.
TUPO: MBEZI BEACH KARIBU NA RAINBOW SOCIAL CLUB
0714 434 190
makenge88@hotmail.com
metaronlift@gmail.com
"KARIBUNI SANA"