Life without internet

Siku hizi mitoto bonogo zmelala, hata watu wazma wanacheka wenyew kwenye simu
 
Kwa raha zao na wanafurahia wenyewe Mashallah
 
Kuna hata mmoja angependa kuishi hayo maisha?! Mimi NOPE!
 
Natamani hata nisiwe na simu kabisa. Enzi zile mtu akisema nakuja mwanza tarehe 16/06/1990 yaani mnajua kabisa ataingia stendi saa kumi jioni. Mnamsubiria. Hizi simu siku hizi appointment hata na mwenza haziwezekani manake kirahisi tu anatuma msg napitia saluni nitachelewa. Maisha hayana ladha tena bwana
 

Mbona rahisi sana,just switch it off!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…