Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,807
- 59,289
Daah! Punguzeni majibu ya kumnyamazisha mtu, mpeni nafasi nae ajione yupo kundini.
Tough love!!
Daah! Punguzeni majibu ya kumnyamazisha mtu, mpeni nafasi nae ajione yupo kundini.
kwani kuolewa kunaongeza nini katika maisha yako kama mwanamke
Eti ni kweli kwamba mwanamke bila mume&and vice versa hajakamilika?? Je ni muhimu kuoa/kuolewa?
wewe nawe wa mpitimbi nini,umeandika nini sasa?Kwani unapo-rapiwa inakupunguzia nini?
Tough love!!
Hilo ni swali au statement!that represents how u r
Marriage is not like a Boomerang sometimes hupati unachotoa na sometimes you get what you dont deserve... What do I mean you migt ask?, It depends you can not generalise watu wapo tofauti, other marriages are good other are worse....
Kujibu swali lako depends na partner wako, kama ana busara then obvious the two of you mtakuwa more complete than one... cause two heads are better than one..
Kama partner wako atakuwa mzigo kwako basi hata ule ucomplete wako wa before utakwisha.
Tough love!!
Kwani unapo-rapiwa inakupunguzia nini?
wewe nawe wa mpitimbi nini,umeandika nini sasa?
that represents how u r
Hilo ni swali au statement!
Hataka kama utaishi ila yatakuwa si maisha ya furaha na amani katika Dunia Hii ukweli ni kwamba tunapaswa kuoa na kuoana. Tusisiseme kwani ni pumzi , kuwa na Mume au mke kunafaida zake pia.Kwani mume ndio pumzi ukimkosa huishi.
kila jambo lina uzuri wake kwa wakati wake ni suala la mtu kujifunza na kuamua lipi anaweza kuliishi na kama utaangalia mabaya tu hata ndoa utaziona ni mbaya tu lakini ukweli ni kwamba hata maisha ya bila ndoa yana matatizo yake,ndoa ni nzuri though zina challenge nyingi tu lakini huko ndio unapoona uzuri wa ndoa na kujifunza na kusonga mbele kila la heri.
Hataka kama utaishi ila yatakuwa si maisha ya furaha na amani katika Dunia Hii ukweli ni kwamba tunapaswa kuoa na kuoana. Tusisiseme kwani ni pumzi , kuwa na Mume au mke kunafaida zake pia.
sasa ukizikosa hizo faida ndio uwe hujakamilika?
Mwanamke kama hana mume/ndoa, hata awe na uwezo namna gani ukamilifu wake hautakuwa sawa na yule mwenye ndoa/mume. Vivyo hivyo kwa mwanaume pia. Msuli wa pesa haununui UPENDO ktk maisha, haununui AMANI, haununui FURAHA.
Mungu ana maana yake kuumba Mume na Mke
Husninyo sijasema ukikosa hizo ndio unakuwa umebadilika ila inapaswa watu waoe na kuolewa
kwanza hujambo.......