Life span ya Twiga Cement | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Life span ya Twiga Cement

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Parachichi, Jan 5, 2012.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wakuu heshima zenu!nilikua nauliza hivi cement ya Twiga inaweza kukaa mda gani bila kuharibika?ikihifadhiwa sehemu kavu,isiyo na unyevu nyevu!nimenunua kwa ajili ya ujenzi,ila mambo yamekua tight,nataka niuze kwa hasara kama itaharibika:nawasilisha wakuu kwa ushauri
   
 2. m

  mkulima wa kisasa Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una tani ngapi?
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu nina tani 15 mkuu!ambapo ni mifuko 300
   
 4. b

  bagamoyo1 Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  life span take ni ndogo sana siku 90 katakana na hali halisi ya hewa ya bongo inunyevunyevu wa asilimia 16 , na cememt pack yetu haina plastic kwa ndani, kama iko dar na iko hai haijaganda ninaweza kuinunua yote
   
Loading...