Life after a very sweet love/relationship

Mkuu ..tusijidanganye…Sweet moments and Happy memories will reminisce forever..Maisha yatachukua sura mpya na tutasonga mbele..lakini..we will always be in love with a memory.... Sweet memories will always be part and parcel of our current life..

Sema tu..kama tumepata wapenzi wapya zawadi kubwa ni kuweza ku-control hisia zetu za zamani zisitawale penzi jipya..na kuheshimu na kudumisha penzi jipya..

In Love With A Memory.. By Corey Smith

We Were listening to the Radio
After Dark, in the Park by Hurricane Shoals
on A blanket by the waterfalls,
Holdin hands, Sweet Romancing untill the Rooster Called
Then I drove her home thinkin Ain't love grand,
Oh I'd never felt that way before, and I never have again..

Chorus:
Now I'm in Love with a memory,
Sweet history's got a hold of me,
So dont' go fallin for me now...
We could never be,
Cause I'm in love with a Memory

We were lying on the Midland Train,
down 29, just barley hiding from the four lane
Close my eyes and I can see her still,
Perfect body streched out for me, every tan line revealed
She headed of to college that September,
And she left me with a kiss, that I always will remember...

Chorus:
Now I'm in love with a memory,
Sweet history's got a hold of me,
So don't go fallin for me now,
We could never be,
Cause I'm in love with a Memory

Oh Many girls have come and gone,
Half the Women in this county swear my heart is made of stone,
That one old flame still burns away,
Yeah the love I lost ten years ago, Is the one I'm longing for today

Chorus:
And I'm in love with, OH I'm in love with a Memory
Sweet history's got a hold of me,
So don't go fallin for me now,
We could never be,
Cause I'm in love with a Memory

We could never be,
Cause I'm in love with a memory
Oh I'm in love with a memory

[video=youtube_share;sbIG5OJ9-5Q]http://youtu.be/sbIG5OJ9-5Q[/video]

If you quit, the day will come when you'll be asking yourself
that very same question over and over again...!
I dont advice you to quit! You better take a step back and weigh again your options.
Planned Separation can be a better 'remedy' before you Call it a Quit!

Narudia tena bro, achana na mawazo ya "kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!"...si ushausikia huu msemo wa kiswahili? It took me almost 5years to recorver from my divorce, and am still collecting pieces...Your life will never be the same Bro. 10years was the time I spent with the mom of my kids [until the divorce]...That hurts, learn it from me bro!

I see...forget the bite....

Aisee, kumbe wanaofikia miaka 15 na zaidi ni wa kuwapa heshima, wanasema ndoa inaanza baada ya miaka kumi ya ndoa,hapo ndio mikiki huwa ni mizito, kuchokana, na kila aina ya vituko, but mama angu alinambia, ukiweza tu kuvuka 10- 18 hv, mtihani unakuwa umeupita, the rest itakuwa ni kama marudio then hutaona jipya kwako

Ushauri wangu kwa kaka MTM jitahidi kutafuta vitu vizuri kwa parter wako ili uweze kuvicherish,hata kama vimebakia kidogo ili usivunje ndoa yako, kwa kuwa nina wasiwasi after 2 yrs ya separation, utakuwa tayari umepata vyote unavyoviona unamiss ukiwa ndoani, then yanaanza majuta, ambayo yatakuwa kwa wakati huo ni mjukuu

good one BB

have you ever thought of the impact of partial love to offsprings?

Duh... mkuu, proper from the horses mouth

What if there are irreversbile changes, would push for pain for ages while somehow seeding rage and anger to the children?? Nakumbuka in 2003, there was a Dannish woman who was telling me kwamba had she known earlier imapct ya yeye na mmewe kugombana au kutokua very close, ange-divorce mapema

She was telling me that his son's dont have love for anyone and they are really phyical to everything

majuto hayo yapo hata kwenye ningelijua nisingemuoa/olewa nae....
Cases vary from one to another.

Hizo irreversibles na irreconcilables wewe pekee na mwenza wako ndio mnaweza kuzipima,
ndio maana nikakwambia kuna option ya separation period, the only option you can weigh
reasonably if both of you are doing the right decision or not.

Mind you,...I tried separation period for 18months, and we gave it another go only for her [after a year later]
to ask me for a divorce. My only regret was/(is) maybe I should have tried harder to persuade her to stay though
Our differences za kimtazamo wa maisha zingeendelea mpaka leo.

It cuts both ways man,....!

hahahaaaaaaaaaaaaaa.... read between the lines mkuu

Yanatokea sana tu... kuongeza tumeambiwa hairuhusiwi

mkuu ukisoma post ya Mbu ndo unapoona kwamba isitokee in the first place,hapo pengine tufate tu ile katiba yetu.....:coffee:

Duh... mkuu, proper from the horses mouth

What if there are irreversbile changes, would push for pain for ages while somehow seeding rage and anger to the children?? Nakumbuka in 2003, there was a Dannish woman who was telling me kwamba had she known earlier imapct ya yeye na mmewe kugombana au kutokua very close, ange-divorce mapema

She was telling me that his son's dont have love for anyone and they are really phyical to everything

to ask me for a divorce. My only regret was/(is) maybe I should have tried harder to persuade her to stay though
Our differences za kimtazamo wa maisha zingeendelea mpaka leo.

It cuts both ways man,....!
Hapa sasa mbu umenichenga, you wish to persuade, and at the same time differences zingeendelea... what is that??? does it meaqn you wish for the differences to go on?

Mh...

Am learning here!
Just wondering how can a person want to forget the good sweet memories in the first place if s/he has a chance of holding onto them!

nadhani ni fasihi... kusahau haina maana hiyo bali ni kutokujuta badae!!! dont u know wale wa kusema angekua XXXX angefanya hivi?

BTW, has anyone here blessed with data on the success rate ya second or third marriage??

MJ1 kusahau hapo ni kutokumisi...
BB what if maisha ya kwanza hayakua yangu bali ni default tu?? umeshasikia the first love who was lost, mtu akaoa after 20 year akakutana na first love and everything changed completely??

Well, hayo mambo yapo.... do you remember your first love??

Second marriage ni disaster rafiki, maana unaona ushaweza kuacha kwa hiyo na huyo akileta unaanza tu, kwa msemo ule "nilimwacha fulani, itakuwa huyu nimekutana nae nishaanza kuzeeka" kuwez a kuwa na true love tumepewa mara moja tu duniani hapa, sasa inategemea kama kwa ndoa ya kwanza ulilazimisha then ikaja ya ukweli, au umetoka kwa true lover wako wa ukweli unaenda kwa mwingine ambae unajilazimishia tu au tamaa ya mpito

Nikweli kabisa hata hapo chini nimeelezea, unaweza hisi kwamba umefika kumbe ulikuwa safarini, yaani partner wako wa sasa alikuwa ni njia tu ya kukufikisha kwa mpenzi wako wa maisha, ila inabidi ujiulize mara mbili coz, tamaa pia inatufanya tuone hawa temp lover wetu ndio wa ukweli

Second marriage ni disaster rafiki, maana unaona ushaweza kuacha kwa hiyo na huyo akileta unaanza tu, kwa msemo ule "nilimwacha fulani, itakuwa huyu nimekutana nae nishaanza kuzeeka" kuwez a kuwa na true love tumepewa mara moja tu duniani hapa, sasa inategemea kama kwa ndoa ya kwanza ulilazimisha then ikaja ya ukweli, au umetoka kwa true lover wako wa ukweli unaenda kwa mwingine ambae unajilazimishia tu au tamaa ya mpito

Aisee....

Hiyo ya kusema kwamba ndoa ya pili au hata ya tatu inakua matatizo kutokana na urahisi wa huyo mrudiaji kuacha sio kweli kwa asilimia zote....labda kiasi kuendana na tabia ya mtu!!

Urahisi wa mtu kuondokana na relationship yoyote ile siku zote inategemeana huyo muondokaji anayachukulia vipi hayo mahusiano.Kuna watu ambao ndoa zao zilizofuata zimekua zaidi ya mafanikio...kwanini?!Kwasababu ni ngumu kurudia kosa la kuingia kwenye ndoa ili tu awe kwenye ndoa.Anakua amejifunza na pia amekomaa kwenye uwanja mzima wa mambo gani ni muhimu kwake kuwezesha ndoa iendelee kuwepo...na ni mambo gani ni muhimu kuavoid.

Mwisho wa siku kumkimbia/mkataa mtu uliyefunga nae ndoa haina tofauti sana na kuachana mkiwa kwenye mahusiano ya kawaida.Ni vile tu ile ni official zaidi....ila hata siku moja huwezi kukuta mtu anapata urahisi wa kuachana na partner wake anaefuata sababu tu aliweza kuachana na wa mwanzo.Urahisi unatokana na mapenzi yake kwa huyo mwenzi...mtazamo wake wa mahusiano hayo pia jitihada za mwenzake kumfurahisha.
Hujawahi kuona mtu aliyezoea kuacha wenzake siku akiachwa yeye anaangua machozi na kukondeana juu?!Sio kwasababu kuachwa kuanauma sana bali kwasababu kumpoteza mtu umpendae KWELI kunauma sana!!

Lizzy mtu aliyeacha mara ya kwanza ni mwepesi ku move on mahusiano yanayofata yakimboa tena, sababu aliweza tu kuthubutu kufanya kitu ambacho wengi wanashindwa kukifanya, then mtihani anakuwa amemaliza, hapo ndio nilimaanisha mimi,kuna wanaojifunza sana kutokana na makosa, but hata wakiacha au kuachwa maumivu si kama yale ya kwanza, wa kwanza ni wa kwanza tu

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom