Lifahamu kombora hatari la Iran linalobeba vichwa 80

Lifahamu kombora hatari la Iran linalobeba vichwa 80

Wamesema kwa sasa nawabadilisha military posture maana walizuiwa wasitengeze lenye inayozidi kilomete 2500 .kwa sasa kwa kuwa kuna vitisho wanabadilisha kuanzia nuclear doctrin na military range range ya ballistic ina change maana inaweza kufika hata urope kwa sasa
Binafsi nitakua mtu wa mwisho kabisa kuamini kama makombora ya Iran hayawezi kufika Europe hilo lenyewe tu kwanza linasemekana data wametoa 2k km wakati uhalisia linaenda umbali wa 4k km Sasa kama linaenda umbali wa 4k km ujue zinatwanga mpaka London mzee nantakua wa mwisho kabisa kuamini kama Iran hana nyuklia Iran anajifanya sijui hawawezi kutengeneza nyuk kutokana na fatwa ya Khamenei jambo ambalo sio kweli kwa sheria za uislam wanazosema wanazifata zinaruhusu waislam wawe na nguvu kama walizonazo makafiri ama kuwazidi ili siku kikiumana muwapige kama watavyowapiga musizidishe na hili Iran nalijua maana wazungu ikitokea wameivamia Iran wataponda hospital visima nk kwahio na wao inatakiwa wawe na nguvu sawa ama kuwazidi ili kukabiliana nao iwe nguvu sawa akipiga Tehran kwakua wapo wengi unatwanga Berlin London Amsterdam nk akipiga mash had unapiga Antwerp Birmingham nk uislam una limit ula upande ule hawana limit wakikutwanga nyuklia unawawashia ili kama utamu mupate nyote Iran wanatengeneza mazingira yakujitambulisha kama nyuklia pawa kwamadai kwamba wanatishiwa uwepo wao huu mtazamo wangu
 
Haya waliosema wamemaliza uwezo wa kuzalisha makombora wa Iran kwa tule tubaruti twao waje hapa, Iran kashasema kama jinsi munatenengeneza peremende wao ndio wanavyofyatua makombora huko ardhini Iran nzima inamakombora

🇮🇷⚡General Hajizadeh: There are few cities in Iran that do not have an underground missile base. The missile cities of Iran are 500 meters underground.

The number of our missile cities is so large that if they are detected, the enemy will not be able to counter them. What you see is like the tip of an iceberg.

🚩@ResistanceTrench | Boost us
Wazayuni wanajua bado tupo six day waaa
 
Wakitangaziwa viwete wanatembeya vipofu wataona Wafu watafufuliwa wanadhan na na wengine wanadanganywa.
Jamaa wana akili fupi sana kuna bwana mmoja alikua anafufua wafu ila ajabu mama ake mzazi anakata miaka sasa huko kwa udongo na marungu juuu
 
Shida yenu nyie wafuasi wa allah mna akili za kuku ila msije kuanza kujiliza umu kua Israel annua watoto sijui wadada Shauri yenu
Mwambie akavunje Iran majumba kama Gaza na Lebanon, kwanini kwa Iran kaenda tafuta target za kijeshi 😄 Akigusa nyumba za Iran anajua hakibaki kitu Tela Aviv
 


Hao hackers napata wasiwasi kama hawakutana na dexoys infos, bure kabisa hawajui hiyo ni mali.. Sasa unahack halafu unakuja kujitapa mitandaon kutupia screenshoots.. Israel alihack mpaka leo hajakanusha wala kukubali ila Iran wenyewe ndio walisema jamaa wame comprimise mfumo wa nyuklia. Maana yake hawajui israel kafanikiwa kuchukua data zipi au kapandikiza nini
 
Sasa mbona mnatuchanganya wazayuni wa jf ni israhell na marekani ama ni israhell yenyewe na kuhusiana na trumpet huyu hana jipya kwani hakuwahi kukalia kiti pale jumba la rangi rangi mpaka labda awe waajabu trumpet kachapwa akiwa ndio rahisi labda kamala anaweza akaja na mpya maana hajawahi kua rahisi ila kwa trumpet hana mpya
subiri mda utakuja kuelewa vizuri mkuu huyo Irani ni mwepesi kama unyoya
 
Hao hackers napata wasiwasi kama hawakutana na dexoys infos, bure kabisa hawajui hiyo ni mali.. Sasa unahack halafu unakuja kujitapa mitandaon kutupia screenshoots.. Israel alihack mpaka leo hajakanusha wala kukubali ila Iran wenyewe ndio walisema jamaa wame comprimise mfumo wa nyuklia. Maana yake hawajui israel kafanikiwa kuchukua data zipi au kapandikiza nini
Wewe unajua hili ila wafanyi hawajui hili dah
 
Aisee hawa jamaa ni level nyingine kabisa

Jamaa wana hili kombora linaitwa Khorramshahr

Hili kombora wanadai linapiga kilometa 2000 ila ukweli na taarifa zilizopo ni kuwa hili linatembea kilometa 4000 hadi 5000 kutokana na design yake lilivyo na specification zake, na wametaja tu kilometa 2000 ili tu kuondoa tension za kimataifa na ili nchi za ulaya zisije zikawafikiria vibaya au kuona wao ni target

Sifa ya kipekee ya hili kombora ni kuwa linabeba vichwa 80 vya mabomu makubwa so wakirusha 100 tu kuelekea pale Israel means kutakua na vichwa 8000 vya mabomu jambo ambalo ni hatari mnoo


View: https://x.com/SprinterFamily/status/1853704920119009491?t=Yeoc5Da44mV6aQ2YVstGag&s=19View attachment 3144218View attachment 3144219

Wewe unashanga ila Israel wana jinsi yakulizuwia miaka 10 ilio pita
 
Acha maneno weka mziki. Nchi haina uwezo wa kutengeneza hata system zao za kazi kama ilivyo window, android au ios. Lakini wanakiona wapo na level ya kumuangusha usa 🇺🇸 🤣 😄 👌 😆 😂 🇺🇸
Nyie mnaweza nini hadi chupa mnanunua za mtumba?
 
Israel hii ya Ibrahimu, Isaka na Yakobo au nyingine ngoja nikanywe wanzuki kwanza nije kucheka Iran kuipiga Israel ni ndoto ila itarusha rusha tu vikombora .

Israel ni Marekani na Marekani ni Israel kama hujui hili subiri Trump apite kobaz mtajua hamjui
Jina la kombora tuh mpk umechanganyikiwa .,asa ume comment utumbo gan
 
Binafsi nitakua mtu wa mwisho kabisa kuamini kama makombora ya Iran hayawezi kufika Europe hilo lenyewe tu kwanza linasemekana data wametoa 2k km wakati uhalisia linaenda umbali wa 4k km Sasa kama linaenda umbali wa 4k km ujue zinatwanga mpaka London mzee nantakua wa mwisho kabisa kuamini kama Iran hana nyuklia Iran anajifanya sijui hawawezi kutengeneza nyuk kutokana na fatwa ya Khamenei jambo ambalo sio kweli kwa sheria za uislam wanazosema wanazifata zinaruhusu waislam wawe na nguvu kama walizonazo makafiri ama kuwazidi ili siku kikiumana muwapige kama watavyowapiga musizidishe na hili Iran nalijua maana wazungu ikitokea wameivamia Iran wataponda hospital visima nk kwahio na wao inatakiwa wawe na nguvu sawa ama kuwazidi ili kukabiliana nao iwe nguvu sawa akipiga Tehran kwakua wapo wengi unatwanga Berlin London Amsterdam nk akipiga mash had unapiga Antwerp Birmingham nk uislam una limit ula upande ule hawana limit wakikutwanga nyuklia unawawashia ili kama utamu mupate nyote Iran wanatengeneza mazingira yakujitambulisha kama nyuklia pawa kwamadai kwamba wanatishiwa uwepo wao huu mtazamo wangu
Ni kweli wamagharibi ni waoga sana Iran naamin alifsnya hivyo il asitwangwe vikwazo maana kila siku EU wakika wataamin irani ni tishio. Kuna professor yule Mohamed marandi alisema walichokitumia ni tiny ya uwezo wao na hawataki USA wajuwe wana kitu gani
 
Back
Top Bottom