kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,187
- 24,580
Aisee hawa jamaa ni level nyingine kabisa
Jamaa wana hili kombora linaitwa Khorramshahr
Hili kombora wanadai linapiga kilometa 2000 ila ukweli na taarifa zilizopo ni kuwa hili linatembea kilometa 4000 hadi 5000 kutokana na design yake lilivyo na specification zake, na wametaja tu kilometa 2000 ili tu kuondoa tension za kimataifa na ili nchi za ulaya zisije zikawafikiria vibaya au kuona wao ni target
Sifa ya kipekee ya hili kombora ni kuwa linabeba vichwa 80 vya mabomu makubwa so wakirusha 100 tu kuelekea pale Israel means kutakua na vichwa 8000 vya mabomu jambo ambalo ni hatari mnoo
View: https://x.com/SprinterFamily/status/1853704920119009491?t=Yeoc5Da44mV6aQ2YVstGag&s=19