Licha ya Mbeya na Tanga kuwa miongoni mwa Mikoa Inayoendesha Uchumi wa Tanzania ila Imeshindwa Kuvutia Wawekezaji Kwa Wingi.Shida nini?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,973
Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT.
Licha ya kuwa miongoni mwa majiji sita bora kwa uzalishaji wa kiuchumi hapa Tanzania, Mbeya na Tanga zinasuasua kwa kiasi kikubwa katika kuvutia miradi ya uwekezaji, mitaji, na ajira. Hali hii inaonyesha wazi tofauti inayozidi kuongezeka kati ya ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) na ufanisi wa kuvutia uwekezaji katika ngazi za kanda.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Utendaji wa Uchumi kwa Kanda iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa robo ya tatu ya mwaka 2024, Mbeya ilishika nafasi ya tatu kitaifa kwa pato la kanda kwa mtu mmoja kuwa Shilingi trilioni 4.3. Wakati huo huo, Tanga – ambayo ni sehemu ya Kanda ya Kaskazini – ilishika nafasi ya 10 kwa Shilingi trilioni 3.2.

Hata hivyo, takwimu za uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonyesha picha tofauti kabisa.

View: https://www.instagram.com/p/DKglxB5tl9y/?igsh=bXU3eXQ0YTdkYWMw

My Take
Dhana ya uwekezaji ndio sio sahihi lakini pia kiwango Cha Fedha kinachowekeswa na kutambuka kama uwekezaji nacho ni shida.

Inawezekanaje kama Mkoa hauna uwekezaji then unaendelea kuwa heavyweight wa Uchumi Nchini?

Screenshot 2025-05-31 203413.png
 
Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT.

View: https://www.instagram.com/p/DKT5WAXosd0/?igsh=MWsxc2Y1M2lrNTFnYQ==

My Take
Dhana ya uwekezaji ndio sio sahihi lakini pia kiwango Cha Fedha kinachowekeswa na kutambuka kama uwekezaji nacho ni shida.

Inawezekanaje kama Mkoa hauna uwekezaji then unaendelea kuwa heavyweight wa Uchumi Nchini?

Mbeya ni wachapakazi hakuna uvivu kule huwezi fananisha na watu wa Mkoa wa Pwani au Morogoro
 
Mimi ni mluguru niliyekulia Dar. Nimesoma Mbeya na nina kaka na binamu zangu wamewekeza Mbeya
Naomba muuache mkoa wa Mbeya kama ulivyo. Tanzania ingekuwa kama Mbeya, watu wengi wangenufaika sana.
Utajiri wa ASAS au Mo Dewji unanufaisha watanzania lakini siyo katika mfumo ambao wazee wetu walutamani.
Mbeya ni mkoa ambao wananchi wananufaika na rasilimali zao.
Kilimo, madini na biashara za Mbeya nyingi zinawanufaisha wakazi wake na siyo watu wengine.
Big up Mbeya, nipo US ila nilienjoy sana kuishi Mbeya, Mwanjelwa.
 
Na hata ukiangalia maudhui ya mada ya The Citizen ni logicless Kwa sababu mradi Ili uitwe wa uwekezaji Kwa sheria za TIC lazima uwe kuanzia Milioni 500.

Sasa miradi ya hivyo lazima itakuwa ni michache Kwa Mkoa wa Mbeya ambao Kwa sehemu kubwa unategemea Kilimo.

Ila miradi ya ngazi ya chini ambayo watu wengi Wana mudu ni Mingi zaidi Kwa sababu Fedha waszopata kwenye Kilimo zinawanufaisha Moja Kwa Moja.

Ni Mbeya tuu ndio Mkoa ambao Wilaya zake Zina uwiano mkubwa wa Mapato ambapo hali hii hupatikana kwenye Mikoa michache sana hapa Tanzania ,haya Mapato ya Halmashauri 80% yanatoka kwenye Kilimo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DKNMn2UixIc/?igsh=MW1weXNnOXJvOHgzOQ==
 
Personally, Mbeya ni mkoa ambao naupenda sana. Natamani Tanzania nzima ingekuwa kama Mbeya.
 
Tanga wakawekeze kwenye kununua machungwa?
Nadhani wewe hujawahi kufika Tanga.
Tanga kulikuwa na viwanda vingi tu lakini vikauliwa pole pole - mfano vya kutengeneza nondo, saruji, sabuni (Foma na Gardenia)...... na hata kungewekwa kiwanda cha kufanya packing ya samaki au bandari pia ingetumika vizuri basi wangekuwa mbali.
 
Binafsi naona uwepo wa Bandari ya Tanga na kuwa jirani na Kenya inatoa future kubwa ya Tanga
 
Nadhani wewe hujawahi kufika Tanga.
Tanga kulikuwa na viwanda vingi tu lakini vikauliwa pole pole - mfano vya kutengeneza nondo, saruji, sabuni (Foma na Gardenia)...... na hata kungewekwa kiwanda cha kufanya packing ya samaki au bandari pia ingetumika vizuri basi wangekuwa mbali.
Hakuna mtu alibiua viwanda Bali ushindani ndio uliviua.

Mbeya na Tanga vikiendelea kuwa nyuma kwenye uwekezaji kama takwimu zinavyoonesha hapa zitapoteza hata hizo nafasi zao muhimu za kiuchumi wanazoshikilia Sasa hivi 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DKglxB5tl9y/?igsh=bXU3eXQ0YTdkYWMw
 
Mbeya ni wachapakazi hakuna uvivu kule huwezi fananisha na watu wa Mkoa wa Pwani au Morogoro
So kama morogoro ni wavivu inakuwaje katika Top chat ya Mikoa ambayo ni strong heavyweight ya kuchangia Pato la Taifa inashika nafasi ya nne na kuiacha Arusha na Tanga Mikoa ambayo Huwa inapewa PR ya kutosha na serikali pamoja na wananchi Kwa ujumla!?

Yaani wakazi wa morogoro wanakuwaje wavivu then ktika uchangiaji wa Pato la Taifa wawe wanashika nafasi ya nne !? Au ni mindset yako tu !?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom