Tumejiwekea doa lisilofutika kina Membe wanatuharibia uhusiano wetu wakati wao watakapowa wamestaafu..
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya
Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera
Ndugu yangu ni lini utakuwa na utashi na kuachana na ujinga huu? Wewe unadhani kilichofanyika kilikuwa ni kizuri? Kwa taarifa yako hii medani ya kidiplomasia kuna rules of the game na zinapokiukwa nchi ambayo ina ufahamu wa sheria za kidiplomasia kama ya kwetu haiwezi kulifumbia macho suala hili. Eti atatupatia matazizo? Brother kuwa na msimamo siyo kukimbilia kulaumu na kuruhusu watu ku-compromise na misingi ya sheria za kimataifa.
Hivi ndivyo Waafrika wanojali umoja na uhuru wa Afrika wanatakiwa kujidhihirisha kwa matendo. Kuthubutu kukemea wanaovuruga "DIGINITY" ya Afrika. Well done Foreign Minister.
<br />Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya<br />
<br />
Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya
Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera
common! unafahamu unachokisema? nchi zote zilizoendelea na zenye viongozi makini wana itambua NTC. iweje sisi maskini wa bongo eti hatuitambua NTC!! ghadaffi is a barbaric and who ever support him falls in the same category. lazima tujijengee maslahi ya kudumu na sio urafiki wa kudumu usio na tija kwa nchi. viva NTC viva russia for recognizing NTCNdugu yangu ni lini utakuwa na utashi na kuachana na ujinga huu? Wewe unadhani kilichofanyika kilikuwa ni kizuri? Kwa taarifa yako hii medani ya kidiplomasia kuna rules of the game na zinapokiukwa nchi ambayo ina ufahamu wa sheria za kidiplomasia kama ya kwetu haiwezi kulifumbia macho suala hili. Eti atatupatia matazizo? Brother kuwa na msimamo siyo kukimbilia kulaumu na kuruhusu watu ku-compromise na misingi ya sheria za kimataifa.