Libya's NTC Flag removed at the Dar es Salaam Embassy

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
ntc-flag-libya.jpg

The Libyan Embassy in Dar es Salaam yesterday opted to comply with the 48 hours ultimatum given on 30 August, 2011 by the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation to remove the rebel-led National Transition Council (NTC) flag.

An Official with the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation, Mr. Assah Mwambene said defying the Ministry’s order would have amounted to serious violation of diplomatic practice and disrespect to the laws of the land.

The Embassy has also wrote to the Ministry yesterday to apologize for the anormally saying it would seriously comply with the government ultimatum.

He said on August 30, 2011, the Ministry of Foreign Affairs and international Co-operation wrote a note verbal ordering the Embassy to remove the NTC flag saying the government of Tanzania does not recognize NTC.

Continue Reading >>> http://www.fikrapevu.com/habari/libyas-ntc-flag-removed-at-the-dar-es-salaam-embassy
 
Tumejiwekea doa lisilofutika kina Membe wanatuharibia uhusiano wetu wakati wao watakapowa wamestaafu..

08_11_ea599r.jpg
 
Hivi ndivyo Waafrika wanojali umoja na uhuru wa Afrika wanatakiwa kujidhihirisha kwa matendo. Kuthubutu kukemea wanaovuruga "DIGINITY" ya Afrika. Well done Foreign Minister.
 
The breaking News: according to Membe, Gaddafi has been looking for a political asylum in Dar Es Salaam
 
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya

Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera
 
Hiyo bendera itapandishwa tu, nadhani serikali inajaribu kukwapua yale mamilioni waliyotoa walibya na wakaweka masharti namna ya kuyatumia. Sasa wakiwatambua NTC ubalozi utaendelea kuwabana kuhusu pesa zile kwa kwa sasa hazina mwenyewe. Lakini Membe na Jk wanapaswa kutambua kuwa tunaihitaji Libya zaidi ya tunavyomuhitaji Daffi. Yaani, Daffi kwishney........! Hata leo hii waandishi wa habari walipokuwa wakitembezwa Bab Al aziziya chumbani kwa Ghadaffi kakutwa 'rebel' mmoja kajilaza kitandani kwa mkuu bijikoromea bila wasiwasi. viva NTC na tunasubiri mapinduzi ya Tz

201183119272883734_20.jpg
 
Tumejiwekea doa lisilofutika kina Membe wanatuharibia uhusiano wetu wakati wao watakapowa wamestaafu..

08_11_ea599r.jpg

Ndugu yangu ni lini utakuwa na utashi na kuachana na ujinga huu? Wewe unadhani kilichofanyika kilikuwa ni kizuri? Kwa taarifa yako hii medani ya kidiplomasia kuna rules of the game na zinapokiukwa nchi ambayo ina ufahamu wa sheria za kidiplomasia kama ya kwetu haiwezi kulifumbia macho suala hili. Eti atatupatia matazizo? Brother kuwa na msimamo siyo kukimbilia kulaumu na kuruhusu watu ku-compromise na misingi ya sheria za kimataifa.
 
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya

Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera

Natamani ungekuwa unasoma magazeti ya wenzetu kwenye mitandao ili ugundue kwamba kitendo cha Kenya kukosa msimamo kimekosolewa sana na wakenya na kusifia msimamo wa Tanzania. Lakini taarifa za karibuni ni kwamba sasa nao serikali ya Kenya imekataa kuwatambua NTC.
 
Madicteta wanamtetea dicteta mwenzao ila walibya wameamua kumtimua sasa wampe hifadhi.
 
tripoli is undercontrol of LIFG (Libya islamic fighting group)an offshoot of al gaida.its commander abd al hakim belhadj veteran gaider fighter from afaghan had led thebattle of gadaf's bc azizia and has since proclamf hmself comander of tripol military council.how 2n we have relation
 
Mkutano wa wakubwa huko Paris unaendelea (vizuri), wanajadili namna ya kusaidia in the reconstruction process' ya Libya. Russia (nasisitiza Russia) despite the fact they had opposed the NATO-led bombing wametangaza kuitambua NTC. Wakati huo huo Algeria (family ya Gadaffi wamekimbilia huko) wametangaza kuwa wako 'ready to recognise NTC' based on some cosmetic criterion. Bongo we are still obsessing na flag! Hata kama kweli the Libyan Embassy wataweka bendera ya zamani, will that change anything? Will Gadaffi go back to his office?

Right now, we are have so many problems Libya was time bomb and if Gadaffi decided to be blind then lets him face the music. Let's focus on our own time bombs and there are many!
 
Ndugu yangu ni lini utakuwa na utashi na kuachana na ujinga huu? Wewe unadhani kilichofanyika kilikuwa ni kizuri? Kwa taarifa yako hii medani ya kidiplomasia kuna rules of the game na zinapokiukwa nchi ambayo ina ufahamu wa sheria za kidiplomasia kama ya kwetu haiwezi kulifumbia macho suala hili. Eti atatupatia matazizo? Brother kuwa na msimamo siyo kukimbilia kulaumu na kuruhusu watu ku-compromise na misingi ya sheria za kimataifa.

kwenye red - misimamo mingine ni ya kijinga na haina tija. Angalia Russia, walimtetea Ghadaffi nadhani hata leo hii ukiwauliza hasa wataendelea kumtetea tu. Lakini wameitambua serikali mpya kwa sababu bila ya hivyo hakuna leseni ya kujenga barabara, majengo makubwa wala kusafirisha mafuta. Hizo ni biashara kubwa za mabilioni ya dola. Tambua kwamba, kama wa-Libya wanakula ugali; AZAM hawezi kupeleka sembe kule bila kwanza kuitambua NTC. Kaa na msimamo wako wewe unayejua diplomasia kuzidi Marekani, Ufaransa, Misri mpya, Russia na China. Kwa taarifa yako, hata Cuba wako njiani kutambua NTC ili miradi yake ya madaktari iendelee. Kule watu wanatazama maslahi na sio diplomasia 'mfu' za AU. Siku mtaposema mnawatambua nao watasema hawawajui.
 
Hivi ndivyo Waafrika wanojali umoja na uhuru wa Afrika wanatakiwa kujidhihirisha kwa matendo. Kuthubutu kukemea wanaovuruga "DIGINITY" ya Afrika. Well done Foreign Minister.

naona unapiga kelele!!!!???? crap!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kelele za mlango hizo na pia twasema ni kelele za chura. Haisaidii kitu gadafi kesha ondoka ikulu ya tripoli, anapatikana katika maktaba iliyo karibu nawe katika mashelvu ya historia.
 
Wakati baraza EID kitafaifa lafanyika msikiti wa Gadafi mjini Dodoma,bendera ya Libya inashushwa na kupandishwa bila nidhamu.Je tujifunze nini kwa wahusika?
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya<br />
<br />
Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera
<br />
<br />
 
Gadaffi ameinvest zaidi Kenya, lakini Serikali ya Kenya imefuata Umoja wa Mataifa wa kuwatambua hao waasi wa Libya

Sisi Tanzania Msaada wa Libya Ulikuwa ni Misikiti na Hotel na hatuna Uzalendo utamu wa Evil Dola tunaondoa hiyo Bendera

Ndugu yangu serikali ya Kenya ina utata sana, mwanzo walisema inawatambua, jana waziri wao wa mambo ya nje amekanusha kwamba Kenya imeitambua serikali ya waasi....wanadai walinukuliwa vibaya. Ila inasema inawakaribisha kwa mazungumzo.source Daily nations. Nafikiri shida ni ile ile ya nchi nyingi za Africa inapokuja suala la kimataifa, huwa hatujui ni nini tunachotaka.
 
Ndugu yangu ni lini utakuwa na utashi na kuachana na ujinga huu? Wewe unadhani kilichofanyika kilikuwa ni kizuri? Kwa taarifa yako hii medani ya kidiplomasia kuna rules of the game na zinapokiukwa nchi ambayo ina ufahamu wa sheria za kidiplomasia kama ya kwetu haiwezi kulifumbia macho suala hili. Eti atatupatia matazizo? Brother kuwa na msimamo siyo kukimbilia kulaumu na kuruhusu watu ku-compromise na misingi ya sheria za kimataifa.
common! unafahamu unachokisema? nchi zote zilizoendelea na zenye viongozi makini wana itambua NTC. iweje sisi maskini wa bongo eti hatuitambua NTC!! ghadaffi is a barbaric and who ever support him falls in the same category. lazima tujijengee maslahi ya kudumu na sio urafiki wa kudumu usio na tija kwa nchi. viva NTC viva russia for recognizing NTC
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom