Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

point yako wa Africa magharibi they fit to be slaves au?
 
Chadema kwao Ndiyo furaha, utasikia wanasema bora kusiwe na amani Ila kuwe na democrasia, pumbavu zao..
Hapa Chadema imeingiaje???? hivi walioruhusu dada zetu kwenda uarabuni wanakobakwa kilasiku na waajiri wao ni CHADEMA???
 
Wabongo wavivu kusoma wepesi kucoment na wafata mkumbo mnaambiwa african migrants mnasema laana ya gadafi wengne wanaenda mbali sijui chadema vile someni kwanza alafu comments mnashindana nin kucomments
Ywanazingua sana chief
 
Du!! Mijitu imekimbilia kuwalaumu waarabu na kusema imerudi tena katika utumwa. Ivi munaelewa mada inasema nini hapo???? Mbona tunakuwa wagumu kuelewa!!!! Badala yake tunalaumu waarabu,,,,,,


Wenyewe ndiyo wametaka iwe hivyo ama kwa lugha nyingine tunasema "wametaka wenyewe kujiuza" ili waende EUROPE/ULAYA na hakuna njia nyingine ya kukatiza icpokuea only Libya,,, na sio kwamba wanauzwa kwa lazima au wanateswa. Wanazikimbia nchi zao kwa shida na tabu na kuelekea libya to europe.


Ingelikuwa waafrika wenzetu/wazungu tusinge mind ivyo. Lakini wakuwa waarabu tumemaindi mno.
 
Ujinga huu ulitengenezwa na hawa hawa Wazungu mambwa na warabu sio watu kabisa bila mkono wa chuma Libya haitawaliki...Gadaf aliwatuliza kimyaa sasa leo nchi haipo kila mtu na lake
 
Ujinga huu ulitengenezwa na hawa hawa Wazungu mambwa na warabu sio watu kabisa bila mkono wa chuma Libya haitawaliki...Gadaf aliwatuliza kimyaa sasa leo nchi haipo kila mtu na lake

Walitaka wenyewe democrasia. hiyo ndio democrasia yenyewe waliokuwa wanaitaka,,watu wanakufa ka nini. So Wanamkumbuka sana Gadafi.
 
Walitaka wenyewe democrasia. hiyo ndio democrasia yenyewe waliokuwa wanaitaka,,watu wanakufa ka nini. So Wanamkumbuka sana Gadafi.
Mbona nyinyi CCM mnaubongo kama wa panzi? Gadafi alipata kile alichostahili na sasa wananchi wa Libya wako huru na wana maisha mazuri tu ila kimbembe kipo kwenu nyinyi watu weusi ndio mnawakimbilia warabu wa Libya wawasaidie kukimbia dhiki kwenye nchi zenu za kidikteta chwala matokeo yake warabu wa Libya wamejipatia biashara safi laki 9 tu kwa mweusi mmoja.

Boresheni uchumi muone kama kuna mtu wakuhangaika kwenda kuuzwa Libya.
 
KAMA hii ni KWELI HAKIKA huu ni unyama mkubwa zaidi ktkt DUNIA ya Leo, Gaddafi atakumbukwa sana wa walibya,Walidanganywa ,wakamkataa Rais m wao aliyewalea kama familia ,Leo wanashindwa hata kueleza maovu wanayopata!
 
Unajua kuna kitu apa watu wanashindwa kuelewa, ..when there is demand there is supply
 
watu wanapo taka uhuru zaidi ndo mazara yake.nchi za afrika hata uziweke vipi bado watakuona mbaya,hayo ndio matokeo ya demokrasia ndo afrika wanazo taka
Wauzwao si WALIBYA
 
Haya ndiyo CHADEM wanayataka kila kitu ooohhh tutashitaki nje, blaa blaa
 
Wasenge wote walio shabikia kiongozi wao kunyongwa wote wtakiona cha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…