Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,603
Sasa wewe choko chadema inahusika vp hapo na mambo yanayotokea libya?Chadema kwao Ndiyo furaha, utasikia wanasema bora kusiwe na amani Ila kuwe na democrasia, pumbavu zao..
Sasa $400 si laki 9 hiyo karibu 1M ?Kuna video hiyo kiukweli inaumiza sana
mtu anauzwa kwa 400$
Du! haya laana ya Gadafi itawatafuna miaka 50+
Demokrasia ipi kwa Mamluki wa Wazungu hayo ndio malipo yao
Hivi hiyo habari inahusiana na dini? Au unataka kusema machafuko ya Libya yalitokana na masuala ya dini?!Endeleeni kuanzusha vikundi vya kigaidi mkisingizia mnatetea dini.
Ngoja wapigwe mnada siwanakimbia nchi zao!,nchi za uarabuni ni matatizo mtupu na wanaubaguzi wa hali ya juu,hao waafrika weusi wanashindwa kutulia kwenye nchi zao wao kila kukicha wanakimbilia huko kutafuta maisha mazuri,maisha mazuri wanayotafuta ndo hayo sasa ngoja waipate fresh!
Hapana anahusika sana tena zaidi ya sana.Hii haiwahusu walibya.. Nyie mnaosema laana ya Gadaffi mnaropoka..libya ni center ya hiyo biashara.. Watumwa wengi ni wa nchi za Africa magharibi na nchi zingine zilizokubuhu kwa umasikini..
Libya ni njia rahisi kwenda Italy kwa njia ya maji..Ndo mana biashara imeshamiri hapo..
Mambo ya Gadaffi na Walibya hayahusiki hapa
Typical Christian from Tanzania.Takibrrrrrr....!
Mkuu, soma vzuri elewe wanauzwa sio walibya tu bali ni waamiaji toka mataifa mbalimbali pale libya ni kama soko/lango kuu la kwenda ulaya. mleta mada ni mnazi wa vyama na lengo lake ni kutisha watu ili waogope kufanya mabadiriko.Kuna video hiyo kiukweli inaumiza sana
mtu anauzwa kwa 400$
Du! haya laana ya Gadafi itawatafuna miaka 50+
Demokrasia ipi kwa Mamluki wa Wazungu haliyo ndio malipo yao
Wa Libya ni madalali, wanaouzwa mnadani ni wajomba zetu wa West Africa, Ghana, Guinea, Nigeria, Cameroon etcMm wala siwaonei huruma.. Maana ndicho walichokuwa wanakitaka,.
Hii ndio democracy waliokuwa wanaipigania maana waliikosa kipindi cha Gaddaf