Libwata!! Libwata!!

Ile kipande cha nyama kinawekwa kwenye uchi wa mwanamke siku saba then una mixiwa kwenye msosi

Hizo vitu imani yako ikijikita kwa Yesu wala huwezi kuwa chochote yaani vitakuwa vinaungua vyenyewe na kuwarudia hao wanaovielekeza kwako. Jesusiiiii Powerrrrrrr
 
Hachana na hii kitu limbwata ipo mimi nina mtu namjua akitoka mkewe anamfungia kwenye mguu wakitanda na chen mguuni na anatoka na jamaa anaenda kupewa kitu!tena limbwata mbaya ya Warangi ni kwere wewe unasahau na jinsia yako!
 
Hizo vitu imani yako ikijikita kwa Yesu wala huwezi kuwa chochote yaani vitakuwa vinaungua vyenyewe na kuwarudia hao wanaovielekeza kwako. Jesusiiiii Powerrrrrrr

sawa nakubaliana na wewe, lakini mimi lengo langu nataka kujua kama kweli vitu hivi ninavyosikia vipooo?? yaan kuna kitu kama hicho? au ni kitu kingine then watu
 
Shetani anakuwaga na nguvu kwa walioko chini yake ina maana kama unafanya hizo vitu zitafanikiwa kwa sababu Shetani atazitia nguvu ila kwa aliye chini ya Yesu hazitafanya
 
NAenda kumtimua leo

hahaha, huku kwetu tanga wanyamwezi tunawatimua wakifiliska. Tunachuna weeeh, akimaliza hela yote aliyouza ng'ombe tunamuitia wazee na viongozi wa dini.
Limbwata tamu banaa, hebu acha kujinyima raha za duniani!
 
Kanifurahisha sana huyo baba anavyodai limbwata mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…