Watoto waliozaliwa miaka ya karibuni wakisikia neno library wanadhani ni aina ya nyoka. Nchi yetu imepoteza kabisa ile misingi ya elimu.Habari Wakuu..
Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .