ha ha ha huko Christians hawakufika, Christian town original ilikuwa ilala, tmk na kinondoni, ubungo tayari ilikuwa ni nje ya mji uliopangwa na Christians hivyo mji original uliopangwa na Christians ulikuwa na library zilizotosheleza mahitaji huko kibamba, kimara ni chaos iliyofuatia post Christian rule ...