Huu utani mbona unanivunja mbavu! Nilidhani ni picha za mechi huko Angola. Halafu unakuja kumalizia na hii ya Thomas, Negwako na Gwankajha, nadhani wewe utakuwa memba wa PN sio hivihivi. Ndagha bhaleke bhabhopeghe papo ulibolo moto ghula.
gfsonwin, tawi la Mpira Pesa limetuma vijana kwenda kwenye msitu wa Kazi Nzumbwi kuchuma viboko vya kumcharazia Rage.
Yaani Rage atakula mbarati kuanzia airport hadi Msimbazi.