Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,953
- 46,713
Kunaweza kusiwe na shida yoyote
mimi simjui huyu mama na utendaji wake wa kazi ila mpaka Rais wa nchi akuvue uongozi lazima kuna shida sehemu katika kuendesha maswala ya taifa na protokali zake! au kuna mengine ya chini chini ambayo wazee wa dossier wamekutana nayo?
anyway, niliamini hayati JPM alimuonea siku za nyuma ila sasa... nipo confused kidogo!