Liberata Mulamula ni Robert Ouko mwingine?

Kunaweza kusiwe na shida yoyote
mimi simjui huyu mama na utendaji wake wa kazi ila mpaka Rais wa nchi akuvue uongozi lazima kuna shida sehemu katika kuendesha maswala ya taifa na protokali zake! au kuna mengine ya chini chini ambayo wazee wa dossier wamekutana nayo?

anyway, niliamini hayati JPM alimuonea siku za nyuma ila sasa... nipo confused kidogo!
 
Liberata Mulamula inaelekea alikuwa anapata sifa sana kwa viongozi wa nje na kuna washauri hawajapendezwa na hili.

Hii imesababisha washauri kuanza kuongelea mipaka na mambo mengine. Ushauri Rais usiweke uwoga sana kwa wasaidizi wako hata kama wamekuzidi kielimu au kupendwa. Usiogope wasaidizi kuwa na nyota maana ni kwa manufaa ya nchi.

Lakini tushukuru haijafikia mkasa wa Ouko wa 1990 na Rais Moi wa Kenya yeye alipotezwa kabisa
Murder investigations On 27 January 1990, Ouko, now Minister of Foreign Affairs, left Nairobi as part of a delegation of 83 ministers and officials, among them President Daniel arap Moi, to attend a 'Prayer Breakfast' meeting in Washington DC.

The delegation arrived back in Nairobi on 4 February. On Monday 5 February Ouko met with President Moi, the Japanese Ambassador, the Canadian High Commissioner, Bethuel Kiplagat (Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs), and Hezekiah Oyugi (Permanent Secretary, Internal Security). Later that day Ouko travelled to his country residence, a farm in Koru (some 300 km from Nairobi) near Kisumu, accompanied by his driver and a bodyguard.

On the night of 12/13 February 1990, Ouko disappeared from his Koru Farm complex near Muhoroni. His housemaid Selina Were Ndalo testified that she "was awakened at about 3 am by a noise similar to a door being slammed shut but sufficiently loud enough to startle her awake" and that she saw a white car turning at the bottom of the minister's driveway before driving away.

Francis Cheruyot, a telephonist at Songoh Office, near to the Koru Farm, alleged to Detective Superintendent John Troon of Scotland Yard (see below) that on Tuesday 13 February 1990, at about 6 am, he was on duty on the post office telephone switchboard when he saw Hezekiah Oyugi "who was a passenger in a white car containing three other persons" drive past the post office on two occasions but Cheruyot would not make a written statement to this effect. Oyugi was subsequently unable to produce the daily log of his official car.

Ouko's body was found later that day (13 February) at approximately 1pm by a local herdsboy Joseph Shikuku[10] (also named as 'Shikulu' and Shikuru' in both Troon's and other reports), at the foot of nearby Got Alila Hill, 2.8 km from Ouko's country home, but although he told local villagers of the find (a fact supported by 'statements in support' given to Scotland Yard detectives by six other villagers) they did not report the fact to the police.

Ouko's body was eventually officially discovered on 16 February, following a police search.

Forensic evidence suggested Ouko had been murdered, near to where his body was found, killed by a single shot to the head, his right leg broken in two places and his body left partially burned.

There was evidence that a gun had been discharged at the scene (although the bullet was never found). A "single caucasian hair" was also found "loosely associated with a partially burnt handkerchief found at the scene".

Items including a gun, a torch, a diesel can and matches were found nearby. All of the items were subsequently identified as belonging to Ouko and, with the exception of the jerrycan, matches and torch, had usually been kept in his bedroom. News of the murder set off riots in Nairobi.

Initial police reports suggested that Ouko had committed suicide but it became known that Ouko had also been shot as well as burnt.

The suicide theory seemed an absurd suggestion, hinting perhaps at a cover-up attempt. Public pressure led president Daniel arap Moi to ask British detectives from New Scotland Yard to investigate Ouko's death.

The following investigation by the Kenyan police was supported by the arrival on 21 February of Detective Superintendent John Troon of Scotland Yard's International Organised Crime Branch, accompanied by two other detectives and a Home Office forensic pathologist.
Naona maombolezo yanaendelea.😆😆.

Endeleeni kupeana faraja.
 
Is being numerate a requirement for a good diplomat?!
Wanatakiwa kumudu maneno zaidi bro!
imagine amekwenda kwenye forum ya investors na a simple numeration hawezi kuitamka....a nation's top diploma!!!! uwe serious kidogo
 
imagine amekwenda kwenye forum ya investors na a simple numeration hawezi kuitamka....a nation's top diploma!!!! uwe serious kidogo
Hizo tarakimu za kiwango cha 'Trillion' ni wanasiasa wachache sana wanaweza kuzitamka kwa ufasaha..

Suluhisho huwa ni muandaaji wa andiko kuandika both tarakimu na maneno, then mwanasiasa (au diplomat) anapowasilisha anasoma maneno tu!
 
Na ndio maana hata aliweza kuwa na uraia pacha.

Mnaacha ukweli mbabaki kuumauma maneno.

Huyu naye ni Lissu mwingine wa kike.[/QUOTE]

Kwanini mnapenda kupotosha watu? Nchi yetu Haina uraia pacha Hilo linafahamika, ukiwa raia wa Nchi nyingine unaukataa kwanza Uraia wako wa athiri ndio upewe huo wetu.

Au kama wewe ni Mtanzania umetamani kua canadiani , unaukana kwanza utanzania wako unachukua ucanadiani wako.
 
Wewe ni mmoja wa mapooza yaliyojaa hapa nchini!eti US ilimtumia kutuchunguza hapa nchini!! Nchi hii ambayo mikataba yote ya madini,gas, mafuta, na rasimali zote tulizonazo ambazo zimeshamilikishwa kwa wageni kwa mikataba ya kimangungo toka enzi za
Mwinyi na maccm majizi!unakuja kumlaumu Mulamula?

Mulamula ndio alisaini mkataba wa buzwagi? Mulamula ndio alisaini mikataba ya mafuta na gas? Mulamula ndio alisaini mkataba wa Richmond na Dowans?Mulamula ndio aliuza Viwanda,mashamba, mabenki na mashirika ya umma kwa bei ya ugoro?

Mulamula ndio alikopa mabilioni ya pesa kujenga miradi fake hapa nchini? Nchi hii mapooza mengi kama wewe ndio yamejaa hapa nchini, ndio yanapiga kura kuwachagua Wabunge aina ya babu tale na msukuma.

Nchi hii ingekuwa na watu wengi wenye akili mtu kama JPM asingekuwa Raisi na uyu mama asingekuwa naibu wa Rais. Ni aibu kuongozwa na watu wasiojua lolote.

Mhuuuu! Sitaki kumtetea Mwinyi uzuri Bado Yu hai.

Yeye anayakwake Ya Loliondo, ila kwenye madini na ma Banks hayo niya Beny.
 
Hizo tarakimu za kiwango cha 'Trillion' ni wanasiasa wachache sana wanaweza kuzitamka kwa ufasaha..

Suluhisho huwa ni muandaaji wa andiko kuandika both tarakimu na maneno, then mwanasiasa (au diplomat) anapowasilisha anasoma maneno tu!
ndiyo sababu wanasaini mikataba ya hovyo kwa kutojua
 
Yule mama alikuwa hafiti kabisa kwenye hiyo nafasi ,Samia kafanya jambo la maana kumpiga chini akafie mbele huko
Mi nadhani ingekuwa yeye na Waziri tozo! Ila kahagua kumfuta yeye kwa vile alikuwa tishio kwake binafsi, si yule ambaye ni tishio kwa maisha ya Watanzania.
 
Na ndio maana hata aliweza kuwa na uraia pacha.

Mnaacha ukweli mbabaki kuumauma maneno.

Huyu naye ni Lissu mwingine wa kike.

Kwanini mnapenda kupotosha watu? Nchi yetu Haina uraia pacha Hilo linafahamika, ukiwa raia wa Nchi nyingine unaukataa kwanza Uraia wako wa athiri ndio upewe huo wetu.

Au kama wewe ni Mtanzania umetamani kua canadiani , unaukana kwanza utanzania wako unachukua ucanadiani wako.
[/QUOTE]
Na huo ni ujingaa na wanaoshikilia mawazo kama hayo hawaishi ulimwengu huu. Maiti tu ndiyo wana uraia wa nchi moja!
 
Back
Top Bottom