Mkuu mbona tunaumizana macho na hicho sijui ni kijapan au Suomi....? Unatisha aisee
mkuu usihangaike kuumiza macho kwenye hiyo michoro, nataka uangalie picha tuu, teh teh, hiyo michoro niweaandiakia wa hapa hapa, naogopa wanaweza wasielewe na hatutawapata, teh teh
Picha bila caption ni sawa na uji wa bila limau kwa mgonjwa! Je target market yako ni wa-Japan (Japanese)?