GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.
Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog
Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !

Mambo hayoooooo: Link : www.ccmchama.blogspot.com
Hii aibu jamani sijui mnamwonyesha nani.
nyooo. nani aingie huko...
afadhali ungetumia Id nyingine kutambulisha hii blog .... una history ya ujinga na brain iliyofanyiwa modification
kwa kheri na ilo libeneke lenu, it seems you are trying to die hard
Aisee nilikuwa na nia ya dhati angalau kusoma mawili matatu kwenye hiyo globu yenu lakini yale marangi yaliyokolezwa ya kijani na njano yanaumiza macho mtu hawezi kusoma hata kwa dakika mbili.Mambo hayoooooo: Link :www.ccmchama.blogspot.com