Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Sakiti hii ni kama zile za wachina ambazo wanaandika maneno mbalimbali kama vile WELCOME,BARBERS n.k
Si lazima uandike hivyo unaweza ukaandika chochte kutokana na mpandilio wa LED zako,Mfano jina lako au la yule umpendae.
Kama Jina ni lefu zaidi unaweza ukaongeza stage nyingine ya IC4017 ila IC 555(katika sakiti hii inatumika kama monostable vabrator)ikabaki hiyo hiyo moja!
Nime-irun kwenye Simulator sakit hii iko poa
Kazi kwako

VIFAA kWA NENO LENYE HERUFI SABA
BOM for sign;
BOM for 555:

- CD4017 1
- IC Socket 16 pin 1
- LED.s any color 219
- Resistors 270R 8
- Resistors 10R 8
- Resistors 10K 1
- Diodes 1N4148 50
- Transistors BC135 8
BOM for 555:
- 555 IC 1
- IC Socket 8 Pin 1
- Capacitor 10uF `1
- Capacitor .01uF 1
- Resistor 10K 1
- Potentiometer 100K 1
- A mounting board
- Many wires
- Power supply
- Soldier
- Tape
- Paint