Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,290
- 5,526
Mkuu,niliona duka moja Mwanza zipo Programmable Scrolling Text LED Matrix Board zinauzwa Sh 500,000/-,ila sina uhakika kama bado zipo. Una-connect na PC halafu unaandika maneno unayotaka yawe displayed halafu una-save kwenye EEPROM ndani ya board au una-program kwa remote controller. Sikumbuki specifications zake,ila ni kama 16x64 dots. Siku nikipata nafasi ya kutembelea tena Mwanza nitakujulisha kama bado unahitaji. Ila bei yake iko juu sanaNimeona mkuu, bado napendelea za wachina. Unaweza kunipa mawasiliano nitoe oda kama ulivyoshauri.