LHRC ya Kijo Bisimba imetapeli waangalizi BVR

WANDEWANDE

Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Hawajalipwa toka mwezi wa pili japo walipaswa kulipwa mara tu wakikabidhi ripoti ya siku kumi na tano, mpaka leo wanapigwa danadana tu wakati wao washalamba hela toka kwa wafadhili wao.

huu wizi
 
Mkuuu hivi wale madreva wa bodaboda waliotoa huduma pale jangwani juzi wameshalipwa pesa zao za mafuta?? kwani nimesikia kuwa wamelianzisha.
 
na hawa LHRC inabidi tuwaanzishie timbwili.

wameondoa kabisa heshima yote ya taasisi na kuwa taasisi ya unyanyasaji, wizi, kujiona,kujidai nk
 
Back
Top Bottom