LG Nexus 5X!

LG Nexus 5X!

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,881
Habari wakuu!
Nimepata majanga simu zangu zimeharibika zote kwa wakati mmoja yaani zimepishana kwa masaa tu.

Infinix S2 Pro imevimba battery,Samsung J3 Prime imekata moto ghafla.Infinix nimeipeleka service center yao battery wanasema hawana nisubiri 2weeks Samsung mafundi wanasema imekufa mashine tatizo bei wanazotaka naziona kubwa bora nikanunua simu nyengine tu.

Nimeshauriwa niingie kwenye LG,kuna mdau amenishauri nitafute LG Nexus 5X wasiwasi wangu hizi simu sijawahi kuzitumia naomba kwa anayejua udhaifu au ubora wa products za LG aniambie pia kama mdau una pendekezo la simu iliyo bora zaidi ya hii nitashukuru kama utanieleza hapa.

Budget yangu ni 500K.

Mkuu CHIEF MKWAWA kama hutojali naomba uniazime muda wako ktk hili.
 
Mm nimetumia nexus ni simu nzuri sana sema uwa zipata moto mno unaweza sema ilikuwa karibu na jiko na lg vile vile hilo ndo tatizo lao
 
Utunzaji wake wa charge uko vipi mkuu,nime-google inaonyesha battery yake ni 2700 mAh ulivyokuwa unaitumia upande huo ilikuwaje?pia kwa pesa hiyo nitaweza kuipata kweli?
 
Habari wakuu!
Nimepata majanga simu zangu zimeharibika zote kwa wakati mmoja yaani zimepishana kwa masaa tu.

Infinix S2 Pro imevimba battery,Samsung J3 Prime imekata moto ghafla.Infinix nimeipeleka service center yao battery wanasema hawana nisubiri 2weeks Samsung mafundi wanasema imekufa mashine tatizo bei wanazotaka naziona kubwa bora nikanunua simu nyengine tu.

Nimeshauriwa niingie kwenye LG,kuna mdau amenishauri nitafute LG Nexus 5X wasiwasi wangu hizi simu sijawahi kuzitumia naomba kwa anayejua udhaifu au ubora wa products za LG aniambie pia kama mdau una pendekezo la simu iliyo bora zaidi ya hii nitashukuru kama utanieleza hapa.

Budget yangu ni 500K.

Mkuu CHIEF MKWAWA kama hutojali naomba uniazime muda wako ktk hili.
Simu tekno tu, hzo nyingine mbwembwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa situation ninayopitia nikisoma na comment yako hii nakuona kama upo addicted na hizi simu zinazosifiwa kila uchao ila hazina ubora wowote.

Napambana nitoke huko simu gani zinavimba betri hovyo kiasi hiki?
It saves the purpose thats all!! Nina tekno hapa mwaka wa tatu sasa inapga mzigo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom