Mgjd
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 532
- 133
Nimeuliza dukani bei ya LG TV nikaambiwa ni Tsh 650,000 kw inch 32. Lakini Muhindi akanishawishi kununua HITACHI kwa 600,000, baada ya kuniuliza iwapo natumia mwenyewe ama naenda kuuza, nilipomjibu natumia mwenyewe nyumbani, ndipo akanishauri nichukue HITACHI na warranty miaka 2 kama LG. Sikununua tena, sasa kwa yeyote mwenyewe uzoefu na mojawapo ya hizo mbili tafadhali embu nisaidie mawazo. Asanteni.