WnTElectronics
Senior Member
- Sep 7, 2013
- 130
- 7
Wee Mandwa; huoni jamaa ana duka ni mfanyabiashara huyo?!!Kwani ulinunua ya nini?kwanini unauza Tv?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wewe mandwa unamatatizo? Hacha umaku sasa unamuuliza maswali gani hayo Cnt yo ready what's written.waache watu wafanye biashara zao don't disappoint them.

Kwani ulinunua ya nini?kwanini unauza Tv?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sasa matusi ya nini?jiangalie
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Brand new, unopened, full HD, USB, HDMI, 2015 model LB651.with kingamuzi.Price : 590,000.
Cont: 0718268969/0785448996.