lfahamu Siri iliyopo Kwenye whats app

lfahamu Siri iliyopo Kwenye whats app

Yani mkuu hii kitu mimi binafsi imenikera mbaya...akhuu!!bora irudi kama mwanzo aise maana sehemu ya ya status ya kuaambatanisha na picha hakuna kabisa..sijui ni upumbavu gani huyu bwana meck sijui..katuletea
Kabisa mkuu,cjui kwanin wameamua kuleta ivo.
 
Kiukweli hiyo update ni hovyoooo!!! Kwanza inakula MB nyingi kutizama status uchwara za watu maana unakuta katupia video eti ndo status hapo wachemka kwakweli binafsi sijapenda hata
 
Kiukweli hiyo update ni hovyoooo!!! Kwanza inakula MB nyingi kutizama status uchwara za watu maana unakuta katupia video eti ndo status hapo wachemka kwakweli binafsi sijapenda hata

Yani aiwishi nikufungulie moyo wangu uone ninavyokereka yani!!sijui bado hajayapata malalamiko huko aliko..
 
Niya kipuuuuuzi kabisa....hii whatsap beta hebu nielekeze jinsi ya kuiondo maana inaniletea vitu vya kijinga jinga....
 
Kiukweli hiyo update ni hovyoooo!!! Kwanza inakula MB nyingi kutizama status uchwara za watu maana unakuta katupia video eti ndo status hapo wachemka kwakweli binafsi sijapenda hata
Mimi natumia Whatsapp beta, nime-update juzi hapa na wamerudisha ule mtindo wa zamani wa kuweka Picha na Maneno chini yake (kama status) lakini zile status za picha na video hawajaitoa..bado ipo!
 
Back
Top Bottom