mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
ifahamu siri iliyopo kwenye whats app sasa (android) jiunge na whats app beta kupata extra features na update za ukwel on time.
Nice nipe feedbackOK let me try
Hold on.....!Nice nipe feedback
ifahamu siri iliyopo kwenye whats app sasa (android) jiunge na whats app beta kupata extra features na update za ukwel on time.
Hata Mimi nimeshangaa.nimeamka asubuhi naona whatsapp IPO tofauti.New update from jana usiku
Am not sure ni fir all whats app user ama for beta pekee
It always feel great kutumia official appGb whatsap hizo zote zishawekwa kitambo
Okay i will waitHold on.....!
Wapi hapo hamna kituhamna kitu hapo!
It's an update boss. Weww umeeka auto update?Hata Mimi nimeshangaa.nimeamka asubuhi naona whatsapp IPO tofauti.
Sijajua.naona imechange yenyewe.sija update.It's an update boss. Weww umeeka auto update?
haipo,vzuri mbona sehemu ya contacts kwa tulioupdate hamna,then tutaona vp contacts ambazo mtu unazo na zipo whatsapp? mana kuna camera,chats,call,na status.haijakaa pw,au mi sifahamu ntaona vp contacts wakuu?
Pale juu kwenye kibahasha ukiclick ndo utaona contactshaipo,vzuri mbona sehemu ya contacts kwa tulioupdate hamna,then tutaona vp contacts ambazo mtu unazo na zipo whatsapp? mana kuna camera,chats,call,na status.haijakaa pw,au mi sifahamu ntaona vp contacts wakuu?