Gari inauzwa Toyota Premio Corona ya mwaka 1999 namba C.

T1986MCK

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
210
260
Kichwa kinaeleweka. Nauza gari yangu kwa Tsh milioni 9. Imetembea kms 81 elfu. Ipo mkoani Kagera. Oldmodel. Ni gari yangu dalali sitaki. Vibari vyote viko hai hadi Sept 2017. Mwenye kuhitaji ani PM ntamtumia picha.
 
Daaah!!! ya 1999 bei 9m!! jitahidi ndugu yangu sababu ni biashara unaweza uza hapo kagera, huku kwetu premio ya sifa kama zako haizidi 6m.
 
Attachments

  • 1484674436154.jpg
    1484674436154.jpg
    21.2 KB · Views: 71
Premio ya 1999, used huko ilikotoka, used Bukoba matetemekoni, afu uniuzie kwa 9M???

Ama kweli wajinga ndio waliwao...
Wakati wa tetemeko nilikuwa nayo Dar. Nimeiacha Bkb baada ya likizo. Ukiitaji tu hata kesho inaanza safari. Lkn ww siyo mjinga hivo hutoliwa.
 
Wakati wa tetemeko nilikuwa nayo Dar. Nimeiacha Bkb baada ya likizo. Ukiitaji tu hata kesho inaanza safari. Lkn ww siyo mjinga hivo hutoliwa.
Alafu huwezi kupata mpya chini ya milioni 12. Nenda yard ya mbele kidogo na Mlimani city zipo kama 5 hivi yenye kms ndogo ina laki moja na ishirini. Ukiinunua kesho unaweka namba DK...
 
Alafu huwezi kupata mpya chini ya milioni 12. Nenda yard ya mbele kidogo na Mlimani city zipo kama 5 hivi yenye kms ndogo ina laki moja na ishirini. Ukiinunua kesho unaweka namba DK...
Unajua mtoto aliyezaliwa mwaka 1999 kashamaliza form four???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom