Level yako ya usomaji vitabu ni ipi?

Level yako ya usomaji vitabu ni ipi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
a9dnwpo_700b_v1.jpg
 
niko n. one siku hizi ....maisha jamani
 
Kweli vision zapishana... " Je wapo sawa walosoma na wasieSoma ? "
Taswira yajieleza!!!!
 
miaka 20 after my primary educatio,iam in a last page of my favourite JUMA na ROZA book,after this one i'll think which else to chose.
 
Mkuu,
Kwa sisi waafrika na hususan watanzania, tuko chini zaidi ya huyu mtu wa mwisho...yaani mchoraji hana hata hiyo imagination. Tunasoma for utilitarian purposes tu yaani kwa ajili ya mitihani. Mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga
 
huyo wa pili akivipunguza vitabu kama 20 hivi ndio tutafanana.
Nalog off
 
Back
Top Bottom