Letter

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Hii barua nadhani ilishawekwa hapa ..lakini si vibaya tukajikumbusha jinsi wengine wanavyotaabika na naniliu....

maniac husband.jpg
 
Mie naona hii barua haikuandikwa na mhanga wa mapenzi hayo kichaa, ila imeandikwa na mtu aliyetaka kufanya mzaha tu. Sababu ni kwamba anaanza vizuri kujieleza halafu inapofika pale pa kuonyesha ukweli wa mambo ulivyokuwa anakorogakoroga bila kueleweka. Hii barua ni mtu alikuwa anatunga kisa kisha akaishiwa utunzi.
 
...Nooo nadhani alikiuwa anapatiwa kitu ...utamu ukamzidi akashindwa kuandika
 
Mie naona hii barua haikuandikwa na mhanga wa mapenzi hayo kichaa, ila imeandikwa na mtu aliyetaka kufanya mzaha tu. Sababu ni kwamba anaanza vizuri kujieleza halafu inapofika pale pa kuonyesha ukweli wa mambo ulivyokuwa anakorogakoroga bila kueleweka. Hii barua ni mtu alikuwa anatunga kisa kisha akaishiwa utunzi.

Kumbuka jamaa ni sex maniac hivyo hakusubiri bint amalize barua alikuwa ameshapanda na kuendeleza libeneke..
 
Back
Top Bottom