You also have mynomination of being a Project leader. Waati tunasubiri kuona response ya wadau wengine tukune vichwa vya what shuld be a tiitle of the prospective project.
Nilikuwa nafikiria hii
- Online Contacts directory
- Web ambayo itakuwa na contacts. itaruhusu kuweka official contact za public ofisi za Mawaziri,
RC, DC, polisi, Number za shule, Hopitali, Agencies, NGO specifically kwa Tanzania
-Then baadae itaruhusu wanaopenda wasajili binafsi number zao au za biashara zao au huduma na maeno walipo , mkoa walipo
NB:
Hivi sasa mtu ukizidiwa ghafla kiafya huwezi kujua umpigie dokta gani kuwa ushuri wa kitaalam. Au kama kuna daktarikaribuna unapokaa Au hakuna taarifa inayoweza kakupatikana online kuonyesha hospitali au shule zilizopo wilaya ya kinondoni