Lets Stop Dating Broke Chiks...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409

She needs you to provide for her education, her upkeep, her family and her everything all in the name of LOVE.

And should you marry her and then divorce her, she will take you to court and even sue you for support post- divorce.

Marry a chik who is rich. That way, all you have to worry is how much love you supply to her. I dont think any man can get defeated in supplying love.

And in case you divorce, she will walk away with her money and you will remain with yours.

Bofffffffffffffffffffffffffff
 
Rich chicks na wao pia wanatafuta watawi yanaoendana nao. May be 0.01% ndio wako ready to mingle with all classes, sasa nyie vya kiume ni wangapi matakaopata tenda katika idadi hiyo ndogo? I am sure ni lazima wengine mtakuja kututafuta akina siye manungayembe.
 
Rich chicks na wao pia wanatafuta watawi yanaoendana nao. May 0.01% ndio wako ready to middle with all classes, sasa nyie vya kiume ni wangapi matakaopata tenda katika idadi hiyo ndogo? I am sure ni lazima wengine mtakuja kututafuta akina siye manungayembe.

kumbe na ww manungayembe !!
 
Kama wewe hutaki kuchunwa just make it clear from day one, na utaona. Wanawake wanaomba pale wanapohisi watapewa. If they are looking for love, they will stay even if you don't supply material things. Na if they are looking for material things, hata upende kiasi gani, hata awe na pesa kiasi gani, atataka pesa zako pia. materialists ni materialists tu, awe na pesa au awe maskini.
 
inaboa na inachofa kuwa na wasiwasi every time she will call asking for this and that, or whenever you feel like talking to her instead of finding peace and affection unachkipata baada ya kupiga simu ni baby naomba jamani pesa ya kununulia kitu flani sina..
 
Sasa kama hana unataka akaseme wapi?

Kama sio kitu cha anasa mbona hapo hakuna tatizo.
 
Vipi mbona mshangao mkubwa?
Yaani ulivyoiandika inatisha kweli....nimejaribu kufikiria mwanaume akiambiwa maneno hayo na mwanamke 'live bila chenga' jinsi atakavyojisikia...hasa kama kweli huyo mwanaume hana pesa!
 
Yaani ulivyoiandika inatisha kweli....nimejaribu kufikiria mwanaume akiambiwa maneno hayo na mwanamke 'live bila chenga' jinsi atakavyojisikia...hasa kama kweli huyo mwanaume hana pesa!

Kwa watoto wa mujini hayo maneno ni ya kawaida sana mbona. Anaweza asikwambie kavu, lakini matendo yake tu wewe mwenyewe utaelewa. Maslahi siku hizi yapo mbele, mapenzi baadae

*Juzi nilimsikia Tony Braxton anawaambia watazamaji wa TV-Show yake "Ni bora kuolewa kwa ajili ya pesa na sio mapenzi. After all unaweza kumpenda mtu yoyote akishakuwa nawe, lakini kama hana pesa maisha yako yatakuwa mabaya baadae"
 
  • Thanks
Reactions: SMU
mapenzi bila pesa mmmmh I doubt! halafu usione kama unamuhonga bure hizo pesa, jua kwanza una wajibu juu ya maisha yake kama mpenzi/mume, pia na yeye kuna huduma anazokupa ambazo unfortunately si pesa ila zinaweza kuwa na thamani either sawa au hata zaidi ya pesa eg. ngono, kupika kufua n.k n.k. Ukiwa bahili usiote kupata mupenzi wa hadhi ya juu, hata hao wenye pesa zao unadhani wanataka waingie nazo kwenye relationship na kutoka watupu? tena hao ndio wanazijua pesa ndo hawataki kabisa kuachana nao jaribu uone!
 
Ndio maana Huricannes zinapewa majina ya wanawake.

Wakiwa wanakuja wako wet and wild, wakiondoka wanachukua nyumba, gari na utu.

"Be eyes"

teh teh teh kheeee kongosho umefika mbaaaliiii yaani nimecheka sana kuna watu wako fast kufikiri!!!???
 
Kama wewe hutaki kuchunwa just make it clear from day one, na utaona. Wanawake wanaomba pale wanapohisi watapewa. If they are looking for love, they will stay even if you don't supply material things. Na if they are looking for material things, hata upende kiasi gani, hata awe na pesa kiasi gani, atataka pesa zako pia. materialists ni materialists tu, awe na pesa au awe maskini.

what u r saying is kwait true..both cases has happened to me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom