Lets say you're Sir Fergie...

Kama mm ndo SAF, na miburungutu yangu huyooooo hadi Nou Camp...hodiiii,hawajamaliza kuniitikia..."naomba niitiwe Lionel Messi tafadhali".
Nikitoka hapo moja kwa moja A.Madrid..."namuhitaji kijana mdooogo sergio Aguero".
Hawa wawili ni sawa na C.Ronaldo wanne.
Kwa mwendo huo £80m itakuwa haitoshi manake naamini bei ya Messi tu ni kubwa zaidi ya hiyo hela, huyo 'Kun' atacost labda at least £20m.
 
Junius, unaweza kumleta Messi England na akashindwa kuperform kama anavyofanya Spain.

KKN, nilisoma few days ago kuwa kihalali bei walizowekewa Benzema na Ribery zinashuka especially kwa Benzema anapatikana kwa nusu ya bei waliyotaja. Kwenye deal ya Ribery ningewapa Berbatov na million kadhaa juu.

Swali Ribery na Benzema watawapa Man Utd 20+ goals kila season?

Sinyolita, Anderson na Carrick si wa kuwauza.
 
KKN, nilisoma few days ago kuwa kihalali bei walizowekewa Benzema na Ribery zinashuka especially kwa Benzema anapatikana kwa nusu ya bei waliyotaja. Kwenye deal ya Ribery ningewapa Berbatov na million kadhaa juu.
Leo nimesoma sehemu Bayern wanataka £90m for Ribery!! Nadhani bei za hawa jamaa zinakuwa kubwa kwa kuwa kuna clubs zaidi ya tatu zenye hela za mchezo na zote ziko interested, sasa kilichopo hapa ni kuonyeshana jeuri tu- so far Madrid wanaongoza hii ligi ya fweza.
 
Hii nimeitoa kwenye article ya ESPN jana,
The press in Germany claim €75m - around £65m - would be enough to get the playmaker. However, it is highly unlikely any club, be it Chelsea, Manchester United or Real Madrid, would do business at that price

Wakati huo huo rumor za kumtaka(manchester United) Mirko Vucinic nazo zishaanza kupeperuka.
 
KNN,Eqlypz
sku zote tukumbuke kuwa United siyo watu wa Presha Presha wanapoondokewa na mastaa wao, utaona kuwa SAF anavyokijenga kikosi cha united na soon washabiki watasahau habari za Ronaldo, kumbuka wakati Beckem na van Nesterooy wanauzwa kila mtu aliamini kuwa sasa United wamejimaliza na tumeshuhudia nini kimetokea. Kwa hili namuamini sana SAF tusubiri tu wakati ndo utasema.
 
Ningemuhonga 50% ya hiyo mihela Bepari Perezi ahamie MU kisha amrudishe Ron, amlete Kaka,Ribery ,Messi,Essien,ineasta and every star
 
Kama Tevez nao ataondoka tutahitaji kusajili Striker na Attacking Midfilder kama Ronaldo
Striker ambao wanatufaa Benzema but expensive wengine ni Etoo au Huntelaar maana kuna posibility kwa wao kuhama kuhusu Midfileder kwa sasa ni Ribery ndio anatufaa
 
Mi sidhani kama kati ya Carrick, Anderson na Park kuna anayezidi £8m, huyo Berb kwa sasa itakuwa bahati sana kupata hata nusu ya hela aliyonunuliwa toka Spurs.
KKN wachezaji wa kuuzwa ni Manucho,Campbell ,Nani then Fergie amlazimisha GNevile astaafu nafikiri Fergie anasubiri hatma ya afya ya Hagreaves kabla hajaanza kufanya usajili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom