The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,254
- 42,873
Nimethamini sana ulichokiandika, ukisoma unaona kabisa ni mambo madogo lakini ya msingi sana. Yamevuruga urafiki, mahusiano na hata wengine kupoteza fursa muhimu maishani kwa kutokuzingatia haya mambo.