Let’s remind ourselves: Some social rules that may help you to look professional

So, according to you, is being angry also consistent with these etiquette rules?
I think it depends na mazingira. Inaweza kuwa professionalism au decency. Kuwa hungry na kuropoka ofisini au maeneo ya kazi kama posta pale au ukiwa umevaa nguo kama suti, inaangukia haswa kwenye professionalism, doing the same mtaani itaenda kwenye decency.

Ila pia I agree with you on your first post, kwa umoja wao, zinaangukia zaidi kwenye decency.
 
Ni sawa pia hatuwezi fanana kwenye kutazama

Cc Kingsmann
 
Namba 3 sidhani kama slay queens watakuelewa

Dia babu Asprin namba 4 inakuhusu,masuala ya kuniuliza naolewa lini mixer kutwa kunitafutia wachumba,mara ooooh unataka wajukuu naomba ife!!!
Nani kakuruhusu uchangie huu uzi kwa kinyerere wakati nlishakupeleka kwa Ras Simba ukanoe kimombo chako?

Adhabu yako ntakuoa mimi mwenyewe
 
I think it depends na mazingira. Inaweza kuwa professionalism au decency. Kuwa hungry na kuropoka ofisini au maeneo ya kazi kama posta pale au ukiwa umevaa nguo kama suti, inaangukia haswa kwenye professionalism, doing the same mtaani itaenda kwenye decency.

Ila pia I agree with you on your first post, kwa umoja wao, zinaangukia zaidi kwenye decency.

Suti gani, mkuu? Swimsuit, tracksuit, dress suit? Is a bridegroom in a dress suit necessarily a professional?
 
Back
Top Bottom