2nd of Feb.
ha haaa, sasa wewe si ulishazaliwa besti?haiwezekani lazima tuandamane, huu ni upendeleo wa hali ya juu,kwani sisi hatuitaki hiyo 31st feb?
mine is 1 november
aisee kama yangu vile..
jina lako UHURU!
If u find your birthday mate, hakikisha mnafahamiana kwa kuhamia PM hahaha
If u find your birthday mate, hakikisha mnafahamiana kwa kuhamia PM hahaha[/QUOT
🙂..i thought i was alone in dis world....ni pm bathi...kwanza are u a he or a she
Ok ina maana april ni mimi peke yangu