Delivery Man
Senior Member
- Jan 3, 2019
- 157
- 108
Hapana sijalipia mkuu kwa vile sio tangazo la biashara....ndio sababu umeliona lipo chitchat...But unajua kuogelea mkuu??Umelipia tangazo
Nkizamia huko kwenye kina kirefu si utan du bad??
Utaendaje kwenye kina kirefu rafiki wakati hata kuelea hujuii....ahahha...by the way....umeona neno usalama nimelirudia mara ngapi hapo juu rafiki?...Usiogope usalama wako ukiwa kule ni kwenye maji ni jukumu langu rafiki.. Njoo ujifunze kuogelea ni muhimu sana mkuu.Nkizamia huko kwenye kina kirefu si utan du bad??
Ahahaah...mkuu darasa langu halichagui wala halibagui...Tafadhari usiwarudishe wahitaji...by way mkuu unajua kuogelea?Kama huna chura usije!!
Mi ni mmoja wa watu walio nusulika ktk ajari ya Mv nyerere..Hapana sijalipia mkuu kwa vile sio tangazo la biashara....ndio sababu umeliona lipo chitchat...But unajua kuogelea mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee....Mshukuru sana Mungu wako mkuu...nadhani basics za kujua kuogelea pia zilikusaidia kutokuwa na khofu na maji....kariibu tuwape Abc's za kuogelea marafiki kiongozi.Mi ni mmoja wa watu walio nusulika ktk ajari ya Mv nyerere..
Sawa mkuu,, ngoja tuwasubiri wanakuja.Aiseee....Mshukuru sana Mungu wako mkuu...nadhani basics za kujua kuogelea pia zilikusaidia kutokuwa na khofu na maji....kariibu tuwape Abc's za kuogelea marafiki kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chura ndo anaogelea au?Kama huna chura usije!!
Hakika mkuu,inapendeza kwa wasiojua na wanatamani kujua ila hakupata hiyo fursa.
Mkuu hii ni kwa marafiki wote wa Jamiiforums....haina jinsiaa...Kariibu kiongozimadem tu au ata majibaba yanayokula bapa?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hello Friends in Jamiiforums,
Je wapenda kujifunza kuogelea lakini hujapata kampani salama ya kukuguide ili uweze kujua kuogelea???
Nakaribisha marafiki wanaopenda kujifunza kuogelea jst for funny sio uwe pro....join me at Kijiji Beach Resort Kigamboni...leo kuanzia saa tisa jioni....Nitakufundisha hatua zote za awali za kuogelea kwa usalama kabisa and naamini by the end of the day utakuwa na uwezo mzuri wa kuelea kwenye maji na kuanza basic move.
Mara ya mwisho nimeenda pale entrance fees ilikuwa ni 15K (coupon package ambayo imeinclude swimming cost na lunch for one)
Kariibuni tufanye mazoezi kwa afya ya mwili na akili...nichek pm kama utapenda au kama utapenda kuja pasipo kutaka kureveal ur id kwangu...You are welcome ukifika reception nitaacha maagizo yoyote atakayekuja muulizia "Delivery Man" nitakuja kuitwa na nitajua you are one of us.
Sent using Jamii Forums mobile app