Kwahio unagawa Kwa utaratibu Gani niufuate?Pole sana,, maana sigawagi hela hovyoππ
tafuta zakoππKwahio unagawa Kwa utaratibu Gani niufuate?
zinznitosheleza mie tumadam naomba unipe basi ninashida na elfu kumi tuu pleasπͺ
nigaie kidogo mwenzio sina hata mia nanjaa inauma pleasπzinznitosheleza mie tu
daa.naomba kazi basiiπͺπͺtafuta zakoππ
Basi bado unampendaHuu ni ukatili π
kwahio dadangu sikuzakatikati yawiki Mechi Hamnaπ€Tuendelee kuchat Vishu Mtata
yeyΓ© akirudi wewe unaondoka.mechi mnachezaje hapoπMechi zipo,nipo nae kila siku baada ya kazi π
hili nalo tulitazameπTatizo bado sijapata mtu serious wa kupendana naye...nikimpata tu nasepa zangu shwaaaaππ
πππDelete kila kinachomuhusu ππ
Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela πππ
HahahahaMechi zipo,nipo nae kila siku baada ya kazi π
sijui ofisi Yako mkuu.Kwa hiyo night shifts ni daily sio? Monday-friday?
samahani mkuu wewe ni daktari?Kwa hiyo night shifts ni daily sio? Monday-friday?
HahahahahahaNdio mkuu
Ama naweza kuwa mlinzi
Kuna ugonjwa unanisumbua sana.sijui unaaidia Nao au unajua kuutibu?Ndio mkuu
Ama naweza kuwa mlinzi