Mbona umesha supp muda tuuMuda muafaka wa kunipa lile somo ticha๐
Upendo wa kwanza nlisota yule binti fala kbs nusu aniue! Nlikuwa silali, tukitoka shule nakimbia hadi geto naweka madaftar nachukua Toyo ya bro nampelekea kwao! Nlifanya mengi sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃbaada ya kuona najitesa nkajikataaa....mwaka wa 7 huu tumebaki kuwa marafiki tuBado hujakutana na unaempenda mkuu
Ahaaaa kweli?๐ฅบMbona umesha supp muda tuu
Ulipo nipo.Ushatimba tayari๐๐
Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kikeMbona kujichanganya ๐คฃ๐คฃ
Khaaaa๐Ahaaaa kweli?๐ฅบ
Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kike
Ndo uhalisia dadanguUko na life nzuri sana kama kweli uko hivi
Basi naacha๐Khaaaa๐
Naona kabisa dalili ya wew ku carry
Endelea
Delete kila kinachomuhusu ๐๐Kwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?
๐๐๐๐Ulipo nipo.
I missed ur call, nipigie tena ๐คฃ๐คฃ
Jiandae kwa supp sasa๐Basi naacha๐
Kuna mda urafiki upo sana!!!Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.
Sawa ticha๐Jiandae kwa supp sasa๐
Delete kila kinachomuhusu ๐๐
Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela ๐๐๐
๐๐ sounds matured.Kuna mda urafiki upo sana!!!
Mi kuna marafiki siwezi waambia hayo mambo na hata siwawazii hvo hasa wale ambao tunashare mambo ya msingi yenye pesaaa, Kuna mda tuuruhusu urafiki uchukue nafasi yake maisha ni zaidi ya kupiga miti